Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 27,489
- 79,779
- Thread starter
- #1,141
Kwahiyo mshahara ni mdogo au mkubwa?Kuna media naijua wanalipa hiyo pesa kwa video Editor, hapa Tz n hiyo media tuu, hakuna media nyngn inayoweza kukulipa hvy.
Sasa huyo hapo n private afu pia sio media ndo mana napata wasiwasi na huo mshahara.