Naitaji kukuchota nyayoUnanifatilia sana mdogo wangu😅
We ni dalali wa ajira tu au kuna kingine una dalalia
Unalipia kodi wapiNadalalia mahusiano, magari na nyumba 😅
Mtoto mshamba kweli wewe kama sio ngosha nipigwe banLatra
Changia pato la taifa binti au uwe kivutio cha utaliiJamani sasa si ndio kodi zangu zinaishia huko, kwanini ulazimishe ziende unapotaka wewe🙄