MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,454
Mh nalia na moyo mwenzako alinipa maneno matamu nikasema dunia si ndiyo hii ,saa ngapi asiishie jukwaani tu akagoma kuja PM ,nimekesha natuma meseji kwake ,za hivi .Mkwe afanye namna tuache kujiliza kwenye nyuzi aisee😂 jana sijaona soda yangu kwani mliishia wapi? Eti mkwilima MENEMENE TEKERI NA PERESI
Wewe
Dada
Mimi ndiye yule ndugu wa seran
Wewe dada tuzungumze
Wewe dada mimi sina majukum njoo tutumie wote
Ila zote hajajibu namuona tu jamvini naogopa hata kumquote