Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Anahitajika ICT officer mmoja. Aliyesoma ICT-MCD/MTA/IDIT/ IT mwenye ujuzi zaidi kwenye graphics.

Lakini pia awe na uwezo wa kufanya yafuatayo au majukumu yake yatakuwa haya.

1. Kufuatilia mfumo
2. Kuandaa matangazo
3. Kupost kwenye social media
4. Kusimamia social media
5. Kufanya kazi ndogo ndogo za.mifumo
Zaidi ni kusimamia social meadia.

Mahitaji mengine awe anaka dodoma.

Tuma CV tuu na baadhi ya kazi za design/animation ulizofanya kupitia email/Whatsapp hii.

info@meksoft.co.tz
0679324995
Deadline ya kutuma ni 29/01/2026 saa 12:00 mchana kwani interview itafanyika jumamosi saa 14:00 kwa watakao chaguliwa.
Poor Brain ni kama hii??
Daaaah asante sana Seran an mpaka nimetafuta doooh...

Ngoja nitume CV hapa chap
 
🎤Job Vacancy:
We are looking for Experienced and talented Graphic designer with the following qualifications.

1. Graphic designers awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika kazi ya design.
2. ⁠Aweze kutumia ADOBE SOFTWARES
3. ⁠OTHER AI graphics related softwares
4. ⁠video editor such as premiere pro, Final Cut, Edius or any other professional video editor
5. ⁠awe na uwezo wa kutumia Adobe After effects au motion graphics au any related softwares for animation creation.
6. ⁠if he/ she has knowledge of digital marketing is a plus,
7. ⁠languages proficiency English and swahili.

Salary up to 1million Tzs

Work location: Dar es salam .
Age from 26 and above.

Apply before : 28/09/2025.

Send your CV: at 4d2025content@gmail.com
Na zina pesa ndefu hivi😍 Poor Brain
Doooh again 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Anahitajika ICT officer mmoja. Aliyesoma ICT-MCD/MTA/IDIT/ IT mwenye ujuzi zaidi kwenye graphics.

Lakini pia awe na uwezo wa kufanya yafuatayo au majukumu yake yatakuwa haya.

1. Kufuatilia mfumo
2. Kuandaa matangazo
3. Kupost kwenye social media
4. Kusimamia social media
5. Kufanya kazi ndogo ndogo za.mifumo
Zaidi ni kusimamia social meadia.

Mahitaji mengine awe anaka dodoma.

Tuma CV tuu na baadhi ya kazi za design/animation ulizofanya kupitia email/Whatsapp hii.

info@meksoft.co.tz
0679324995
Deadline ya kutuma ni 29/01/2026 saa 12:00 mchana kwani interview itafanyika jumamosi saa 14:00 kwa watakao chaguliwa.
Poor Brain ni kama hii??
Ndio mambo yangu haya Seran
 
Nimeshangaa maana kazi hizo zimelundikana hapa huwa nazipost! Mbona nyie mnalipwa pesa ndefu sana unakwama wapi?
Mmmmh we acha tu..
Seran wanakuambia biashara afanye mwenzako, fanya wewe uone
 
Najua, nina biashara hapa inaniumiza kichwa mpaka naona nije kutoa stress zangu humu tu🥺
Kuna jamaa angu alinikuta nafanya biashara na yeye akatamani sana..
Kumbe asichojua alinikuta nipo na upepo kipindi hiko

Na yeye akafanya kama yangu daah jamaa sasa hatuna mawasiliano vzri
 
Anaona ulimuingiza mkenge
Ndio anaona mi jau..
AN uwezi amini mpaka sasa mtu akinifata sijui wazo la biashara mi namkataa mapema nasema sielewi mimi..

Maaana naona kama kweli nilimuingiza mkenge maana kila.kitu nilifanya mimi
Kutafuta frem
Kununua vifaaa
Kumtafuta mtu wa kukaa

An daah
 
Kwan mda huo unafanya hivyo ulikua na uhakika hatoboi?
 
Kwan mda huo unafanya hivyo ulikua na uhakika hatoboi?
Hapana mkuu..
Naona jau kutokana na sasa hvi hali anayopitia .

Sio kama nilikua najua tokea mwanzo maana nilifanya kwa uhakika kabisa ila ishi iliyotokea wanasema biashara sio dua wala bahati.

Biashara imebebwa na customer care asilimia 70 mkuu
 
Back
Top Bottom