Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Hapana mkuu..
Naona jau kutokana na sasa hvi hali anayopitia .

Sio kama nilikua najua tokea mwanzo maana nilifanya kwa uhakika kabisa ila ishi iliyotokea wanasema biashara sio dua wala bahati.

Biashara imebebwa na customer care asilimia 70 mkuu
Sasa usijilaumu kwann unajilaumu na wakati ulikua na lengo zuri tu
Just relax
 
Alijua umempiga kipapai😅
Daaah jamaa alianza kwa madua kama yote...
Ila biashara ina siri kubwa sana seran naposema mimi kipindi naanza nilikua kila siku usiku lazima nilie..

Show ilikua kali aiseee an daaah wewe acha kabisa usione watu tunataka twende vijijini huko kujifungia sio kama tunatania ni kweli kabisa an
 
Wewe ni me?

Najiona kama nimemchomesha unajua mpaka sasa hata mimi naona aibu mkuu...

Hii situation ombea isikupate.. huwa namwambia vumilia tu vumilia
Shida ya kuwapambania watu zaidi ya 60% ndo huwa hii.

Akitoboa huko hakumbuki Kama wewe ndo ulimsetia game nzima, ila akifel sasa,,,, atakusema kila pande wewe ndo umemsababishia majanga!!

Bora kila mtu ashinde mechi zake
 
Bora kabisa iwe hvo tu.
Hata sasa mtu akija akisema ishu ya biashara huwa namkwepa kabisa.

""Hivi hapa mtaani nikiianza kuuza viatu vitoka""

Jibu " Sina uzoefu na hizo biashara mkuu sijui kitu ""
 
Daaah jamaa alianza kwa madua kama yote...
Ila biashara ina siri kubwa sana seran naposema mimi kipindi naanza nilikua kila siku usiku lazima nilie..

Show ilikua kali aiseee an daaah wewe acha kabisa usione watu tunataka twende vijijini huko kujifungia sio kama tunatania ni kweli kabisa an
Tafuta mtaji kajifiche anza kulima tu matunda utayaona baadaye!
 
Back
Top Bottom