Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

WANAHITAJIKA VIJANA WA KULISHA KUKU

📍Chalinze, Pwani

âś…Mshahara: Tsh 200,000
âś…Chakula na Malazi vinatolewa
âś…Elimu Kuanzia Form 4

⚠️Fika ofisi za ajira zilizopo Kigamboni Sido, Kama una changamoto unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa namba zifuatazo: 0725 110 177 au 0799 529 422
 
WANAHITAJIKA VIJANA WA KULISHA KUKU

📍Chalinze, Pwani

âś…Mshahara: Tsh 200,000
âś…Chakula na Malazi vinatolewa
âś…Elimu Kuanzia Form 4

⚠️Fika ofisi za ajira zilizopo Kigamboni Sido, Kama una changamoto unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa namba zifuatazo: 0725 110 177 au 0799 529 422
Mbaga kaikataa hii kazi aisee!
 
ANAHITAJIKA COUNTER LADY KATIKA LOUNGE YA KISASA

📍Ubungo, DSM

âś…Mshahara: Tsh 300,000
âś…Chakula na Malazi vinatolewa
âś…Mzoefu na awe mrembo
âś…Elimu Kuanzia Form 4

⚠️Fika ofisi za ajira zilizopo Kigamboni Sido, Kama una changamoto unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa namba zifuatazo: 0725 110 177 au 0799 529 422
 
ANAHITAJIKA COUNTER LADY KATIKA LOUNGE YA KISASA

📍Ubungo, DSM

âś…Mshahara: Tsh 300,000
âś…Chakula na Malazi vinatolewa
âś…Mzoefu na awe mrembo
âś…Elimu Kuanzia Form 4

⚠️Fika ofisi za ajira zilizopo Kigamboni Sido, Kama una changamoto unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa namba zifuatazo: 0725 110 177 au 0799 529 422
Kwani hii sido ndio office ilipo?
 
Anahitajika Human resource Manager
Jinsia KE
Mahali: Mikocheni
Awe na Bachelor degree HRM
Angalau uzoefu wa mwaka mmoja
Mshahara: 700,000

Una vigezo fika ofisi za ajira na Biashara zilizopo kigamboni ukiwa na Cv yako au mawasiliano zaidi 0799529422
0725 110 177
 
Nafasi mpya

Wadada wa kufanya kazi liqour store

Mshahara: 180,000

Chakula na makazi bure

📍Kigamboni

Unaweza kufika moja kwa moja ofisi za ajira na Biashara Kigamboni sido

Au wasiliana nasi 0799529422

0712 721 977
 
Urgent looking for ;
1. Accountant
2. Supermarket Manager
3. Debt collector
Both candidates should have at least two years of working experience working as an accountant. The working station's Dsm . Share your cv before 10th September 2026 through info@workproudtz.co.tz or workproudbtz@gmail.com.
NB: Female candidates are highly encouraged to apply
 
Urgent looking for ;

1. Accountant

2. Supermarket Manager

3. Debt collector

Both candidates should have at least two years of working experience working as an accountant. The working station's Dsm . Share your cv before 10th September 2026 through info@workproudtz.co.tz or workproudbtz@gmail.com.

NB: Female candidates are highly encouraged to apply
 
JOB VACANCY | GRAPHIC DESIGN SPECIALIST

🏢 INDUSTRY: TRANSPORTATION

Day Sparkle Consultancy is partnering with a reputable client to identify a highly skilled Graphic Design Specialist who can bring creativity, strong visual communication, and professional design execution to the brand.

WE’RE LOOKING FOR:
• Bachelor’s Degree in Design/IT or related field

• Expert Graphic Design Skills
• Advanced Adobe Creative Suite
• Strong Branding & Creativity
• Ability to Meet Deadlines
• Professional Portfolio Required

🔥 If you have the skills, creativity, and portfolio to stand out — this opportunity is for you.

đź“© APPLY NOW: Send your PORTFOLIO ONLY to jobs@daysparkle.co.tz

⏰ DEADLINE: 15 SEPTEMBER 2026

Only shortlisted candidates will be contacted.
 
Wanahitajika vijana wawili wa kiume katika duka la vitambaa

📍Tandika, DSM
đź’°Mshahara: Tsh 180,000

Hakikisha umri hauzidi miaka 23

Fika ofisi za ajira moja kwa moja kigamboni sido, Kwa changamoto yoyote unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kqa namba zifuatazo: 0725 110 177 au 0799 529 422
 
Wanahitajika wadada wawili wa kuhudumia chakula na wawili wa kuhudumia vinywaji katika lounge

📍Kigamboni, DSM

âś…Malipo: Tsh 180,000
âś…Chakula na makazi vinatolewa

Fika ofisi za ajira zilizopo kigamboni sido, Kwa changamoto yoyote ya kiofisi unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja 0725 110 177 au 0799 529 422
 
TANGAZO NAFASI YA KAZI

NAFASI YA MAUZO (SALES) vifaa vya ujenzi
Wanawake (3)

Muombaji awe na sifa zifuatazo:
•Awe na uzoefu wa kuuza vifaa
•Elimu kuanzia kidato Cha nne
• Ajue hesabu vizuri (msisitizo)
• Awe muaminifu na mwenye maadili Bora ndani na nje ya kazi (msisitizo)
• Mwenye kujituma na utayari wa kufanya kazi ktk mazingira yoyote
• Awe na umri kuanzia 19- 35
• Awe tayari kufanya kazi j3 - Jmoc

Ofisi zipo tegeta

Kwa mawasiliano piga 0659467484
 
Samahan naomba unitangazie nahitaji wasichana loan officer wakiwa na certificate au diploma ya microfinance management utapendeza namba yangu ya simu 0714798091
Sehem ya kulala ipo
 
TANGAZO LA KAZI - WALINZI

ENPRIZON COMPANY LIMITED
Inatangaza nafasi za kazi kwa WALINZI WANAUME

MAHALI PA KAZI:
Kilwa, Mkoa wa Lindi

MAJUKUMU:
1. Kulinda mali na watu wa kampuni masaa 24
2. Kufanya doria ndani na nje ya eneo la kazi
3. Kuandika ripoti za kila siku
4. Kudhibiti wageni wanaoingia na kutoka
5. Kuripoti matukio yoyote ya hatari mara moja

VIGEZO:
1. Awe na mafunzo ya Ulinzi na Vyeti vya Ulinzi - LAZIMA
2. Awe na afya nzuri na uwezo wa kimwili
3. Awe mkweli, mwadilifu na mwenye nidhamu
4. Awe na uzoefu wa miaka 2+ itakuwa ni faida
5. Awe tayari kufanya kazi kwa mabadilika - mchana na usiku
6. Awe tayari kuishi kambini

MSHAHARA:
TZS 300,000 / Mwezi + Malazi + Chakula.

JINSI YA KUOMBA:
Tuma CV yako, vyeti vya ulinzi, na picha ya passport kupitia WhatsApp:
0674 245 749

Muda wa mwisho wa maombi: [12/09/2026]
 
Data entry
Industry: production
Location : Dar es Salaam

  • Knowledge of Ms excel
  • Fresher
  • Female candidates are encouraged to apply

Salary : 350k- 400k

Share cv +255 612 901 761
 
Em tangaza kazi hapa chap kuna kabinti kakimasai umri wake sidhani hata kama kanavuka 21 ila kareeefu keusiii watakapa mimba kapagawe
 
Back
Top Bottom