mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,467
- 5,639
Yaah,tanpolMtupe hizo ronja jmn nasisi tujue mbona hatuelewi au kuna intake inakuja
Yaah,tanpolMtupe hizo ronja jmn nasisi tujue mbona hatuelewi au kuna intake inakuja
Jakata basi mengi mbwembweVigezo vya kuomba nafasi za polisi ni vipi?
Hiki kigezo saivi sio tatizo tena watu mtaani wanafoji kile cheti cha jkt balaaJakata basi mengi mbwembwe
Unawezaje foji cha jakata kirahisiHiki kigezo saivi sio tatizo tena watu mtaani wanafoji kile cheti cha jkt balaa
841 kikosiuzuri ni kwamba kambini mwao kuna kua na maduka ya vifaa.mfano mm nikiwa mafinga jkt tranka nilinunua kwa maservice man.coz vitendo vya wizi ni vingi sana so kama unaogopa kuaibika ni bora ukaenda na akiba mfukoni mkuu
yaah mkuuu
PDF magereza Tayar?Oyaa jamani hivi depo Kiwira au Ccp wanaendaga na ma tranka? maana wizi sio mzuri kwakweli
Ila
Unaweza ukaenda na tranka kumbe hawaruhusiwi unaenda kuwa kichekesho kule kama wale first year wa UDOM walio ripoti na ma tranka walipigwa hadi na picha
Mpka leo sijapata jibu wanaenda nao wajuzi tafadhali ?
Bado ..PDF magereza Tayar?
Ulipata jibu ?n
Ngoja niulizie washkaji ambao wamepita huko
Mkuu unajiandaa kutuacha nnUlipata jibu ?
Kina code za kuscanHiki kigezo saivi sio tatizo tena watu mtaani wanafoji kile cheti cha jkt balaa
jamaa muda huu yupo kanisani hope jioni nita kujulishaUlipata jibu ?
Hamna nasubiri tuMkuu unajiandaa kutuacha nn
Ulipiga usail broPDF magereza Tayar?
Njoo DM mkuuOyaa watu fani pdf lenu vipi ? Bado tu