Ajira za TISS hutangazwa wapi?

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
318
662
Majeshi ya ulinzi na usalama hutangaza nafasi za kazi kama taasisi nyingine. Mathalani Jeshi la polisi, JWTZ, Kikosi cha zimamoto, Uhamiaji, etc wamekua na kawaida ya kutangaza nafasi za mafunzo na hata ajira. Lakini sijawahi kuona tangazo la kazi kutoka TISS (Tanzania Intelligence Security Services) Wana utaratibu gani katika kutoa ajira?
 
Majeshi ya ulinzi na usalama hutangaza nafasi za kazi kama taasisi nyingine. Mathalani Jeshi la polisi, JWTZ, Kikosi cha zimamoto, Uhamiaji, etc wamekua na kawaida ya kutangaza nafasi za mafunzo na hata ajira. Lakini sijawahi kuona tangazo la kazi kutoka TISS ( Tanzania Intelligence Security Services) Wana utaratibu gani katika kutoa ajira?
Hivi kitu gani hasa kinawavutia hadi kufikia hatua ya kupata hamasa ya kutaka kufanya kazi na hawa watu?????Nini hasa kinawavutia huko????????Kwa nini utake kufanya kazi katika magenge ya aina hiyo hususani kwenye nchi zetu hizi za dunia ya tatu ambazo zina vinasaba vya
Itikadi za Ujamaa/Ukomunisti kama Tanzania???Frankly speaking, mimi binafsi hata kusikia tu jina lao huwa najisikia nafsi yangu inapata kichefuchefu.
"WORKING FOR KILLERS IS A SURE WAY OF BOOKING A PLACE IN HELL"
 
Unataka?

Vigezo:
Uwe chawa mbobevu wa chama Cha zidumu fikra za mwenyekiti taifa

Uwe umepita pita kwenye zile taasisi zinazolea makada mfano seneti ya vyuo vikuu, umoja wa vijana n.k

Hakikisha jina lako la tatu lipo kwenye database yao mda mrefu.....sijui umenielewa?

Au skia
Jiunge vyama hasimu Jenga hoja onesha una kitu Cha ziada watakutafuta soon
 
Wana njia kuu 3 wanazotumia ..

( 1. )Wanachukua vijana kutoka Vyuo vikuu, JKT na hata mitaani kwa vigezo wanavyovitaka wao na kwa mahitaji maalum ya kazi ila huwa wanachukuliwa Kimya Kimya na vijana wanaochukuliwa hufanyiwa vetting kisha huchukuliwa. Lakini pia kwenye majeshi ya askari polisi, magereza, JWTZ n.k huchukuliwa yaani hapa mtu utakuta ni polisi lakini hapohapo ni TISS au ni JWTZ hapohapo ni TISS anakuwa anafanya simultaneously role Ila role kubwa inakuwa ni base on TISS.

(2). Kupitia vyama vya siasa jiunge CCM au Vyama vya upinzani na ukiwa huko usibweteke toa hoja kwelikweli, Hoja ziwe za maana you have to be a man of logic na uwe na ushawishi wa kutetea hoja zako watakutafuta for political reasons.

(3). Kupitia connection, Kama una ndugu yako mwenye nafasi kubwa ni rahisi kuchukuliwa, Ni mwendo wa vi-memo tu.

Note: Kama unataka kuwa TISS na hauna connection wala hutaki jihusisha na mambo ya siasa Basi njia ya kwanza ndio option iliyobaki, Jitahidi kufanya vitu ambavyo vita wa attract wao wakutafute njia rahisi ingia kwenye majeshi ya ulinzi na usalama iwe ni polisi,magereza, JWTZ n.k then fanya vitu extraordinary Huko usiwe mzembe fanya vitu vya kiintelijensia kweli onyesha kuwa una kitu extra basi unaweza chukuliwa.
Kama upo mtaani basi fanya vitu extraordinary jihusishe na mambo ya gunduzi, teknolojia, jifunze teknolojia mpya tafuta ujuzi wa kushawishi wakutafute kama kuwa expert wa computer mambo ya IT soma sana mambo ya networking etc alafu kuwa na project zako then zi launch kwa society wazione unaweza kuchukuliwa. Kwa nyongeza labda uwe mnaaa ukiona uhalifu,uuzaji wa madawa kama mirungi, bangi n.k Katoe taarifa polisi yaani uwe unachomea wananchi wenzako ila njia hii sio nzuri na salama do at your own risk.
N.B. Njia zote hizo hazina guarantee ya 100% so unaweza kuwa na sifa zote na ukakosa kazi kitengo na sio kitengo tu ata polisi yenyewe unaweza kosa.
 
Hivi kitu gani hasa kinawavutia hadi kufikia hatua ya kupata hamasa ya kutaka kufanya kazi na hawa watu?????Nini hasa kinawavutia huko????????Kwa nini utake kufanya kazi katika magenge ya aina hiyo hususani kwenye nchi zetu hizi za dunia ya tatu ambazo zina vinasaba vya
Itikadi za Ujamaa/Ukomunisti kama Tanzania???Frankly speaking, mimi binafsi hata kusikia tu jina lao huwa najisikia nafsi yangu inapata kichefuchefu.
"WORKING FOR KILLERS IS A SURE WAY OF BOOKING A PLACE IN HELL"
Ili watishe watu sanasana ulimbukeni flani wa kuogopwa katika jamii.

Amini ninachokwambia. Wengi wanahamu hiyo
 
wenzio wanajuta...kujiunga huko wanatafuta upenyo wachomoke...wewe unatafuta upenyo ujiunge..

mkuu to be the one ask the one... ungekuwa na ndugu huko angekuvusha ..ungekuwa na rafiki huko angekuvusha...

kwa bahati mbaya sana hakuna namna unaweza jiunga nao kama awakuhitaji...!

sikushauri uitafute hiyo kazi...! maana hiyo sio kazi ni utumwa...and it's a game which some time can coast someone life's...!​
 
T

Tatizo ni kwamba watu wengi hawana taarifa za kutosha kuhusu hawa jamaa, endapo kama wangejua wala hata wasingethubutu hata kuwaza tu kuwa mmojawapo wa hao watu.
 
Back
Top Bottom