Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kwajinsi navo pelekewa pumzi ya moto na maisha kitaa.sielewi hawa polis wtakuja lini tena kuchukua watu!kama kibali wamepewa ila wamekausha kinoma
Hawawezi chukua wengine kwa sasa wakati bado watu wapo CCP hawajamaliza mafunzo. Mwishoni mwa mwezi wa 8 ndio wanatoka huko.Sensa ikipita wataanza mchakato huo wa kuchukua wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom