Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Attachments

  • FB_IMG_1656656363482.jpg
    FB_IMG_1656656363482.jpg
    50.4 KB · Views: 27
Oyaa jamani hivi depo Kiwira au Ccp wanaendaga na ma tranka? maana wizi sio mzuri kwakweli

Ila

Unaweza ukaenda na tranka kumbe hawaruhusiwi unaenda kuwa kichekesho kule kama wale first year wa UDOM walio ripoti na ma tranka walipigwa hadi na picha

Mpka leo sijapata jibu wanaenda nao wajuzi tafadhali ?
 
uzuri ni kwamba kambini mwao kuna kua na maduka ya vifaa.mfano mm nikiwa mafinga jkt tranka nilinunua kwa maservice man.coz vitendo vya wizi ni vingi sana so kama unaogopa kuaibika ni bora ukaenda na akiba mfukoni mkuu
 
v

vp harufu ya kiwira inanukia?
mkipata nafasi muwe mnatoa updates coz inatupa faraja pia kuona kumbe inawezekana kuchomoka kitaaa
 
Haha hamna mkuu kuhusu Kiwira tumuachie mola hili swali niliuliza mwaka jana sikupata jibu

Ndio leo nauliza kama jibu lipo Kama kuna anayejua we unafahamu mkuu ?
 
uzuri ni kwamba kambini mwao kuna kua na maduka ya vifaa.mfano mm nikiwa mafinga jkt tranka nilinunua kwa maservice man.coz vitendo vya wizi ni vingi sana so kama unaogopa kuaibika ni bora ukaenda na akiba mfukoni mkuu
Shida hivyo vitu unabebaja na sijui kama unaweza kuta hayo maduka kwenye hizo kambi maana kule ni tofauti na jkt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom