Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hiki kigezo saivi sio tatizo tena watu mtaani wanafoji kile cheti cha jkt balaa
Unawezaje foji cha jakata kirahisi


Sahiv sio kama zamani Kuna vyeti vya kufoji ila sio jakata yaani inshort kuna taasisi huwezi foji vyeti

kwenye maombi uliambatanisha vyeti kwenye kopi kuna namba wanainakili namba ya cheti

Wakifanya confirmation inakula kwako
 
Oyaa jamani hivi depo Kiwira au Ccp wanaendaga na ma tranka? maana wizi sio mzuri kwakweli


Ila

Unaweza ukaenda na tranka kumbe hawaruhusiwi unaenda kuwa kichekesho kule kama wale first year wa UDOM walio ripoti na ma tranka walipigwa hadi na picha


Mpka leo sijapata jibu wanaenda nao wajuzi tafadhali ?
PDF magereza Tayar?
 

Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom