Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Nope,si suala la kumpa mtu yeyote hata asiejulukana uenyekiti,after all hakuna mtu kazuiwa.
Chadema in watu wenye capacity ya kumrithi mbowe,watu Kama Henche,mnyika Tundu Lissu,halima etc.
Watu wenye damu ya chadema,SI mtu anakuja wiki hii,anataka awe mgombea pekee was uenyekiti
Sumaye is not serious
Kweli.
 
Wale waliotaka vyama vingi,wangekuwa na fikra kama zako. Wallah leo tusingekuwa na mfumo wa vyama vingi.
Mkuu labda hujanielewa , umesema "waruhusu "mgombea binafsi ndipo labda ww utagombea, ndipo nikakuuliza Nani aruhusu mgombea binafsi?

Hapo hata sijaonesha fikra zangu uzisemazo kuwa ninazo , labda umenishambulia tuu pasipo kujua msingi wa swali langu ulitoka wapi..
 
Ni kama vile wewe ukimuona mtu anajiita mlokole kisha umuone analewa pombe je hiyo habari hutaihoji?
Ndo chadema hao wanajionaga malaika kwa kila kitu sasa mzee baba lazima aseme uhalisiia uliomo humo ndani
 
Huyu alikuwa na lake jambo, kukosa uongozi ndani ya CHADEMA siyo sababu tosha ya kumfanya ajiengue CHADEMA, Wakati akiwa CCM alifanyiwa mambo ya aibu kabisa,kwa kupokwa ushindi ndani ya CCM na Mery Nagu kwa kuwahonga wapiga kura wamkatae Sumaye hiyo hakuona ni sababu ya kujitoa CCM, isipokuwa kura za hapana imekuwa ni sababu ya kujitoa CHADEMA.
 
Tena uongozi wa Chadema Makao Makuu uliniomba mimi kutochukua fomu ya kuomba uongozi wa Kanda ya Pwani ili kumheshimu Mzee Sumaye , kilichobaki ilikuwa yeye kujinadi kwa wajumbe tu , zaidi ya ilichofanya Chadema isingewezekana kuwalazimisha wajumbe .
 
mr yamoto,
Mimi tatizo langu ni kule kunyimwa haki ya kugombea [kama katiba inaruhusu] na haki ya kuchaguliwa au kutochaguliwa. Nadhani tuzungumzie misingi halisi ya demokrasia ambayo Chadema inapenda kuonyesha kwa umma kuwa wanastahili kupewa dola.
 
Tatizo nikule upo peke yako halafu inatangazwa kuwa umepigiwa kura za hapana niaibu kubwa na nikweli kuna usulitan pale chadema.na cuf
 
Tatizo nikule upo peke yako halafu inatangazwa kuwa umepigiwa kura za hapana niaibu kubwa na nikweli kuna usulitan pale chadema.na cuf
Alishakuwa mwenyekiti kipindi kilichopita inawezekana wajumbe hakuridhishwa na performance yake.
 
Mzee Sumaye ulipigiwa kura, kushinda na kushindwa ni harakati za uchaguzi. Unadai wajumbe waliwekwa hotelini na walipewa rushwa. Kwa mwanasiasa mkomavu kama wewe haya yalikuwa ya kuzungumzwa kwenye kikao cha kamati kuu na hoja yako isikilizwe.

Heche na Mwambe ni wana chama wa muda mrefu kuliko wewe. Kwanini hawajajivua u wanachama baada ya kukoska kiti cha kanda. Mzee unatufundisha nini sisi wachanga kwenye siasa? Kuwa ukishindwawuchaguzi unajivua u wanachama.
Kwa sababu alikua mgombea pekee alishajua kachukua kiulaini
 
Mzee Sumay kitu kidogo kakimbia. Je I demokrasia gani ipo kwenye chama cha CCM? Tumesikia uchaguzi wa juu lini? Watu wote karibu ni matakwa ya mwenyekiti ambaye ni Raisi.
 
Back
Top Bottom