INTERGRITY
JF-Expert Member
- Jan 19, 2021
- 394
- 1,510
Unaonaje tukamuaibisha sheitwani kipindi hiki cha kwaresmaJamani, nashukuru sana
Unaonaje tukamuaibisha sheitwani kipindi hiki cha kwaresmaJamani, nashukuru sana
Achana na hiyo comment bestieHapo nilipobold si sawa mkuu..
Binafsi ninakuelewa sana naielewa hiyo hali.
Mtake radhi mama yetu tafadhali huko alipo.hakuna mwanamke yeyote duniani anaeweza ifikia thamani ya mama.please edit hiyo kitu tafadhali.
Huyo mwanamke unamzungumzia hapa ni matamanio ya mwili tu unayojuu yake ingetokea ukawa nae hii heshima unayo mpka sasa kabla ya kumpata usingempa baada ya kumpata
Ukianza kumjibu utamuonea huruma.bora alivyokaa kimya na kumlisha block.ndoa ni taasisi kubwa sana.Bora aendelee kukaza tu kwa usalama wa ndoa yake.
Ni ngumu mno kutokuendelea kumjibu mtu ukianza maana moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vote, una ugonjwa wa kufisha,ni nani awezaye kuujua?
Mtakatifu sasa..🤣🤣Ndiyo mkuu.
Unamtaja kwa uzuri kabisa
Taifa bila mwanamke hakuna kitu, ili taifa lisonge lazima wananchi wawe na utulivu wa nafsi, she is the only lne ambae anaweza kunipa utulivu wa nafsiMimi mwanamke nimeweza wewe mwanaume unashindwa!hebu jikaze kiume basi unaliangusha taifa mkuu
Unataka nchi iingie vitani wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini mbona ana crush wake yule
Humjui nikutajie??
Ni Behaviourist
Alifunguliwaga hadi uzi,sema mods walipita nao dk chache tu baadaye [emoji23][emoji23]
Kabisa yaani[emoji122]Ukianza kumjibu utamuonea huruma.bora alivyokaa kimya na kumlisha block.ndoa ni taasisi kubwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakatifu sasa..[emoji1787][emoji1787]
Wajanja wameshampata, sema sio rahisi kumjua,ni myulivu sana na sio myu wa kujichanganya wala hana matani ya kijinga, huwa anacomment if only she has sometjing to say, kama hana anakaa kimyaHuyo mwanamama ni yupi huyoo wakuu najitahidi kuntrack hapa
🥂🥂🥂Achana na hiyo comment bestie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka nchi iingie vitani wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malume, una uhakika hujachanganyikiwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah[emoji23][emoji23][emoji23]unanicheka!
Huu uzi utaisha mimi sijamtambua mtu hata mmoja haki ya nani..inauma tukio linakupita na upo hapohapo[emoji51]
Nimeshafunguka. Ila kumtaja sasa mwee mwee.Funguka Karma
Hapana.rekebisha mwandiko wako tafadhaliAtakua ndo crush wako