My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Mimi Kuna mtu Alikuja PM...hatukufikia MAKUBALIANO...Ni mwendo wa matusi tu kila Akiona comment zangu...Mara naliwa kimasihara...Mara kahaba...Mara najiuza buguruni...Mara na bwawa la mtera ....MAra nimeshikia Panga anioe yeye haoi Makahaba.......

Nashukuru Mungu moderator wamekuwa wakizifuta baadhi ya comment zaka na mjibu yangu.

Analazimisha Nije na ID mpya....kwakweli
Nimeshangaa Sana na visa vya Huyu mutu
Ukichunguza vizuri huyo ni ex wako. Trust me !!!
 
Hata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo[emoji3][emoji2][emoji2][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mwambie wewe hilo guu la taifa lipate mtu wa kulilambalamba hahahaha
 
Si mumtaje jamani
Kaanzishe uzi wako umtaje, ningekua nataka kumtaja ningemtaja mwanzoni kabisa ila nimesema nia ya uzi ni kuwatakia crush wetu heri ya siku ya akina mama
 
Yaaani...sijui Hata anashida gani.... yaani Ni ViTa.

Mpaka nashangaa ingekuwa mtaani angevunja viio vya gari kabisa.

Pole sana huku kuna ma stalkers, wao hawana jema na unaloliandika, hapo anakutukana na ID yake,hujui nyingine ngapi anazo tumia kukutukana?,,,,Mimi nataka kuwaomba mods wawe wanafuatilia stalkers , ikigundulika wewe ni stalker unapigwa life ban, we all want to have good time and feel safe while using JF!
 
Nimeeleza hapo juu kwamba michango yake inanivutia, how smart she is, mnyenyekevu na ofcourse najua kila myu hapa anampenda ndio maana mnanipiga vita

Haijalishi nimemwona au laa ila tu nampenda, they way she sounds i know she is beautful

Mwisho wa siku sio dhambi kueleza hisia zangu juu ya mtu, nimemkaribisha kila mtu atoa heri ya siku ya wanawake kwa crush wake nashangaa mmebaki mnanishambulia

Mkuu hebu tulia kwanza wewe niache nielezee hisia zangu
Ungenisoma vizuri ungenielewa. Mimi nilikuwa najaribu kukusaidia. Please read between the lines.[emoji16]
 
Eti usikute ni mbabu wa watu huko 😂😂😂😂😂umenikumbusha Sungura mjanja sizitaki hizi mbichi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata usinipe pole mkuu..hiyo hali nilishaikataaga kitambo na mwamba alitoka kwenye Mishipa yangu ya damu.
Mpaka sasa hajawahi kujua na hatokuja kujua....usikute ni mbabu wa watu hukoo😀😃😃🤔🤔🤔🤔
 
She is very BEAUTIFUL, NAKAZIA MKUU.
Nimeeleza hapo juu kwamba michango yake inanivutia, how smart she is, mnyenyekevu na ofcourse najua kila myu hapa anampenda ndio maana mnanipiga vita

Haijalishi nimemwona au laa ila tu nampenda, they way she sounds i know she is beautful

Mwisho wa siku sio dhambi kueleza hisia zangu juu ya mtu, nimemkaribisha kila mtu atoa heri ya siku ya wanawake kwa crush wake nashangaa mmebaki mnanishambulia

Mkuu hebu tulia kwanza wewe niache nielezee hisia zangu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom