Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hahahahaha...ukihitaji bega la kulilia nipo hapaHaisaidii
Hahahahaha...ukihitaji bega la kulilia nipo hapaHaisaidii
Siyo langu lakini naona mwenye uzi karibu ataanza kupanick. Ngoja tuondoke. Ila nimecheka sana dah. Shikamoo mapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]Salimeti hilo dongo hapo juu ni lako kumbe?[emoji3][emoji3]
Sihitaji msaada wako, pengine wewe ndio unasababisha nakula block, we pambana kivyako na mimi nipambane kivyangu, kila mtu ashinde me hi zake, bado sijakata tamaa mkuu, hata ID mpya ntafunguaHaya ngoja nikusaidie sasa. Nampelekea uzi huu angalau auone. Nadhani hii itakusaidia kidogo. Inaonekana hutanii na uko siriazi kweli kweli. Nimecheka sana hapo juu dah. Na hapa una mke umeoa si ajabu na watoto juu dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Sawa mku, natania tu relaxUsinivurugie thread bana
Ngoja kidogo tucheke kwenye huu uzi wako. Naona karibu ustaarabu unataka kukushinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Its getting late mkuu, kapumzike
Blaza Mangi ilikuwa ni kitambo sana..ndie aliyenifanya mwaka mzima nasoma JF offline.sasa hivi ninakotiana nae fresh kabisa na wala hajui na hatojua kama alishawahi peleka resi damu ya moyo wangu😁😁Mwambie wewe hilo guu la taifa lipate mtu wa kulilambalamba hahahaha
Sawa.Labda nikikuona wewe sio yeye
Afadhali mshkaji wangu umekuja, thanksHahahahaha...ukihitaji bega la kulilia nipo hapa
🤣🤣😅😅Si mumtaje jamani
Aisee kweli kabisa afu kumbe yupo serious!😀Siyo langu lakini naona mwenye uzi karibu ataanza kupanick. Ngoja tuondoke. Ila nimecheka sana dah. Shikamoo mapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]
Relax basi kidogo bana. Miye nilikuwa nakuchemsha tu. Kila la heri mkuu katika harakati zako. Bye [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]Sihitaji msaada wako, pengine wewe ndio unasababisha nakula block, we pambana kivyako na mimi nipambane kivyangu, kila mtu ashinde me hi zake, bado sijakata tamaa mkuu, hata ID mpya ntafungua
Ahahah! Una'complicate maisha wewe.
Leo umekomaa.sana kwenye huu uzi, rudi kule kwenye vituko mtandaoni mkuu, naona kama unanichora tu hapa, wengine wanahisi mimi natania, nilichoeleza is exactly what i feel for that lady, i wish someone out there could atlist understandNgoja kidogo tucheke kwenye huu uzi wako. Naona karibu ustaarabu unataka kukushinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu nitanie huyo mangi kwanza nimjueBlaza Mangi ilikuwa ni kitambo sana..ndie aliyenifanya mwaka mzima nasoma JF offline.sasa hivi ninakotiana nae fresh kabisa na wala hajui na hatojua kama alishawahi peleka resi damu ya moyo wangu[emoji16][emoji16]
Hivi kupenda ndip kupoje aisee...inamaana mafisi tulikosewa kwenye uumbaji? HahahaBlaza Mangi ilikuwa ni kitambo sana..ndie aliyenifanya mwaka mzima nasoma JF offline.sasa hivi ninakotiana nae fresh kabisa na wala hajui na hatojua kama alishawahi peleka resi damu ya moyo wangu[emoji16][emoji16]
Acha nikae kimya tuIna maana hamna anayenipenda kisiri siri? Comments zote hata sijawishiwa.
Ina maana hamna anayenipenda kisiri siri? Comments zote hata sijawishiwa.