Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
OkSio stress, kiukweli nikimuonaga huku huwa nasuuzika moyo sana hata asiponisemesha basi huwa naona siku yangu iko na furaha
OkSio stress, kiukweli nikimuonaga huku huwa nasuuzika moyo sana hata asiponisemesha basi huwa naona siku yangu iko na furaha
Mimi na wewe hadi dakika hii bila bilaHivi mimi ndiyo sina kabisa crush humu jamani? Si mtoto wa mtu anikufie na mimi anianzishie na kauzi?
Haki ya nani NimeshamfahamuYou are wrong, very wrong, cha kike kabisa, huyu ninaemzungumzia hapa huwa anaweka wazi kabisa kwamba ameolewa na ana watoto
Sema hii itakuwa ngumu sana kuibeba[emoji23][emoji23][emoji23]sitaweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ole wako uropke mtakatifu..uinunue kesi
Duuh ila mkuu miaka karibu saba? Una moyo sana aisee!I am trying kumpotezea, sijui kwa nini moyo unakataa kabisa, nadhani niondoke tu JF nisiwe namuona maana ntapata BP bure
Umeanza lini[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hivi mimi ndiyo sina kabisa crush humu jamani? Si mtoto wa mtu anikufie na mimi anianzishie na kauzi?
We umeenda chaka kabisaAaaaaaaaaa hapa sasa umefungua code, nyeupeee, na pale uliposema kwenye huu uzi hajakanyaga kwa kawaida angeshatia timu...
Wapendwa msihangaike sana ni wangari m.
..mwambie basi walau ajue!Nilishawahi kuwa kwenye hiyo hali Chief so naielewa vizuri sanaaaa..nilijikaza kuliko kawaida kumtamkia wala kumfungulia uzi..nilianza kusoma JF offline kwa muda wa mwaka I promised myself sitomfuatilia tena huyu master.nilichagua kumpotezea mazima..it wasn’t easy aiseh..
Gesi wat sasa....ni namuona wa kawaida kabisa na stori tunapigaga hapa hapa kwenye comment na hajijui na hatokuja kujijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanini my crush?? Jane naona wanamkwepa kwepa sana usikute ni njemba
Ana id yake b4 hiiWe umeenda chaka kabisa
Huyo wangari wa 2018
Jamani haya mambo ya kubashiri tuachie wenyewe tunaoyaweza[emoji23][emoji23]
A wapi simsemi..Ropoka tu, you are allowed, sioni tabu kufanya publis confession on how much i love her, nq kitokea mtu akamtaja kama ndio yeye i wont deny it
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mimi naona yupo sawa kutojibu.
Unajua kashetani nako kako kazini..anaikimbia dhambi jamani [emoji23]
Hata mimi nikija kuolewa kuna watu sitakuwa nawajibu kabisa yaani..mzaha mzaha baadaye usaha unatumbuka..
Mma,ikyisu kinyalie
Siyo huyo.Ana id yake b4 hii
Na mimi usinisahau [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaahaa ntakutumia birth certificate PM
Siku zote naonaga unaandika hovyo..Chakorii unaona nishaanza kusifiwa huku, we chelewa chelewa tu kunitaja.[emoji847]
Huyu anarange hapa 33-36Na mimi usinisahau [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni binti yangu pia, hivyo kaa mbali kijana. Hujui ni dada yako huyu?
Hivi hii ni laana au? Mbona una crush kwa dada zako[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app