My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Nimesubiri nione mtu akutaje, nami nimechoka kuzunguka... natoboa hapa hapa.

Le Grande Super Woman niiiiiiiiii, Chakorii iiiii.... watu weweeeeee!!!!
Hakuna mtu ananijua wala kuwa hiyo crush Sijui nini..bora umeokoa jahazi. ungesubiria mpaka mwakani na nisitajwe😁😁.

Hivi kwani piemu huijui 😁😁😘😘

Watu we we we we weweeeeeeew😃🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Sema hii itakuwa ngumu sana kuibeba[emoji23][emoji23][emoji23]sitaweza

Huwa napima kwanza uzito.


Ila mimi watu wengi sana humu kuna muda automaticalee najikuta hata id zao nyingine nazijua bila wao kujua
Wewe unatembea sana mtakatifu 🤣🤣
 
Nilishawahi kuwa kwenye hiyo hali Chief so naielewa vizuri sanaaaa..nilijikaza kuliko kawaida kumtamkia wala kumfungulia uzi..nilianza kusoma JF offline kwa muda wa mwaka I promised myself sitomfuatilia tena huyu master.nilichagua kumpotezea mazima..it wasn’t easy aiseh..

Gesi wat sasa....ni namuona wa kawaida kabisa na stori tunapigaga hapa hapa kwenye comment na hajijui na hatokuja kujijua
Mimi nimeshamjua na nina uhakika 99%
 
Wajanja wameshampata, sema sio rahisi kumjua,ni myulivu sana na sio myu wa kujichanganya wala hana matani ya kijinga, huwa anacomment if only she has sometjing to say, kama hana anakaa kimya

Na akicomment utampenda bureee
Mkuu huyo ni mimi kwa ile id yangu ya 2013! Hujanijua tu ile ni id yangu ya kistaarabu ila hii nyingine huwa nakuwa kichaa balaa!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom