My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Ahaahahhaah unamjibu tu kidogo roho yake ifarijike afu unamtia block. Wewe mkaka wa watu anateseka jamani mweeeh.
Hiyo ya kumjibu kidogo labda sisi ambao bado tunadunda dunda bado[emoji23]
Sasa mtu aliyeolewa jamani na mwanaume ameoa amjibu nini?
Ni kumkaribisha shetani awachezee..watu wanaanzaga kiutani hivi hivi baadaye mambo yanaharibika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom