My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Nimejaribu kupotea kwa muda baada ya kuona ananipotezea hajibu PM zangu ila nikashindwa kabisa kukaa bila kuingia humu nisipomuona nahisi kupagawa kabisa
Mpotezee! After all huyo kaolewa, huwezi kwa namna yoyote kumfanya kuwa wako na yeye ameonyesha kutohitaji interaction na wewe. Inauma lakini kubali tu ukweli kuwa hahitaji kuwa na wewe.

Kuhusu crushes, hiyo ipo sana, wengi kama ulivyosoma wanaingia kwenye infatuation hata hawaelewi, ukipotezea inaisha. Pia ulifanya vizuri kumwambia, so she knows, ulichokosea ni ku fall kwa mtu hata hujamwona. Mwandiko unakufanya uvutiwe na mtu, lakini hiyo obsession naamini ni baada ya kumuona, sasa mzee hata hujamtia machoni...si shida hiyo!!
 
Life isn't fair, huyu mwanamama unaemsifia nimepiga sana, halafu ifike mahala ndugu watanzania tuache kujifunza maneno ya ulaghai,utapeli, uhuni, ufuska, ufirauni na ubazazi
 
Mpotezee! After all huyo kaolewa, huwezi kwa namna yoyote kumfanya kuwa wako na yeye ameonyesha kutohitaji interaction na wewe. Inauma lakini kubali tu ukweli kuwa hahitaji kuwa na wewe.

Kuhusu crushes, hiyo ipo sana, wengi kama ulivyosoma wanaingia kwenye infatuation hata hawaelewi, ukipotezea inaisha. Pia ulifanya vizuri kumwambia, so she knows, ulichokosea ni ku fall kwa mtu hata hujamwona. Mwandiko unakufanya uvutiwe na mtu, lakini hiyo obsession naamini ni baada ya kumuona, sasa mzee hata hujamtia machoni...si shida hiyo!!
I am trying kumpotezea, sijui kwa nini moyo unakataa kabisa, nadhani niondoke tu JF nisiwe namuona maana ntapata BP bure
 
Kwa kweli hata awe anamjibu tu PM mwenzie, sio kwa mateso haya anayompa mbaba wa watu
Ila mimi naona yupo sawa kutojibu.
Unajua kashetani nako kako kazini..anaikimbia dhambi jamani [emoji23]

Hata mimi nikija kuolewa kuna watu sitakuwa nawajibu kabisa yaani..mzaha mzaha baadaye usaha unatumbuka..

Mma,ikyisu kinyalie
 
Ikifika mahali huu uzi ukafika mwisho, nitaweka wazi halafu ndio nitasepa JF moja kwa moja maana i can see kwamba the lady has no whatsoever onterest na mimi, na kwa kywa ameniblock, basi i will express my feelings to her publicly sio kwa nia mbaya ila tu nataka ajue how i feel about her, na nitamwomba msamaha kwa kumwanzishia uzi halafu nitapotea moja kwa moja JF[emoji22][emoji22]
Muweke wazi mkuu
Liwalo na liwe

Yeye kwanini hajibu hata PM yako jamani.
Mtaje tu hapa aone seriousness yako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom