Nikifika kule nikute umeshanipa jina lake! Haya haraka! [emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3]Crush wangu wa wa humu jitokeze kabla sijakutaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nimwage mchele na Mimi[emoji2960]
Yalonisibu nafsini mwaka juzi[emoji1787]
Mmmmmmhh [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]@Eli79
Hapo umeongeaTaifa bila mwanamke hakuna kitu, ili taifa lisonge lazima wananchi wawe na utulivu wa nafsi, she is the only lne ambae anaweza kunipa utulivu wa nafsi
Nitapotea JF moja kwa moja ili kumpotezea, that is the only solution
I am in my right senses, ulishawahi kupenda?
Yaani tangu jana ni pigo juu ya pigo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi kujua kufungua codes sasa na wewe
OhoooNikifika kule nikute umeshanipa jina lake! Haya haraka! [emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3]
Mke yupo, ana nafasinyake, najitahidi kumheshimu na kumttosheleza kwa kadri ya uwezo wangu ila the fact kwamba tupo kwente dunia ya utandawazi haya mambo ya mitandaoni hayakwepeki na najitahidi yasiathiri familia yangu ingawa kihisia nimekwisha kabisa kwa huyu crushMiaka takribani 7 unateseka na 'ghost fantasy' tu na unajiita una mke! Huyo mkeo ana nafasi gani?
Kama kupenda ndo namna hii, basi sijawahi na sitaki.
Nimeamshamjua ila sitaki kuwa na kiherehere.mwache amtaje mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi tangu umeanza nauona tu,hadi umefika hapa sijamjua huyo crush wake jamani!
Amtaje tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nimeshamjua.Wajanja wameshampata, sema sio rahisi kumjua,ni myulivu sana na sio myu wa kujichanganya wala hana matani ya kijinga, huwa anacomment if only she has sometjing to say, kama hana anakaa kimya
Na akicomment utampenda bureee
Hapo umeongea
Hii obsession ni next level walah. Watu tunacrush ila hii hapana[emoji119][emoji119][emoji119]Kabisa Espy
Kakojoe ulale huko.Mmmmmmhh [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Mimi nilivyo na machale nishamjua tangu jana.Nimeamshamjua ila sitaki kuwa na kiherehere.mwache amtaje mwenyew
Kwa ufupi Hata mimi namkubali sana huyo JF Super Woman [emoji8][emoji8]
🥂🥂Yaishe bestie