My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Umenichekesha sana aisee 😂😂😂😂sasa nimekumbuka unajua hili jamvi limekuwa kubwa sana hivyo kumkumbuka kila member wakati mwingine si rahisi. Uniwie radhi kwa hilo.
[emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3]

Wewe "dumb wants to speak" mbona tumeshaquotiana mara kadhaa kwenye mijadala mbalimbali? Tena kwa id yangu hii hii ina maana siku zote hizo haukuwahi kugundua kuwa mimi ni KE?
 
Endelea nipo hapa kufuatilia huku kufunguka kwako. 😜
Mimi wangu uzalendo ulinishinda nikaamua kumtamkia tu mom! Ila kabla sijamfahamu nilikuwaga secret admirer tu na nilikuwaga nateseka kama mtoa mada tu na nilitamani ibaki hivyo milele sema uvumilivu ulinishinda!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom