Wakikuumiza huko karibu sana uje kulipizia kwanguu....Afadhali mshkaji wangu umekuja, thanks
extrovet tafadhali naomba urudi kwa Fina.nipo tayari kugombana na wote lakini si huyu malaika wa bwana mpole..hapana kwakweli 😀Aah kweli nimekuonea wivu! Kwangu hakuna hata wishes ya supawumani kumbe zawadi zote kaleta kwako!😀 Sasa na hizo lips zilivyo nzuri atarudi huku kweli?? Bye in advance 😀
Wewe unampenda nani ?Ina maana hamna anayenipenda kisiri siri? Comments zote hata sijawishiwa.
🤣🤣🤣🤣inatokeaga tu brother aise we acha tu ni kisangaHivi kupenda ndip kupoje aisee...inamaana mafisi tulikosewa kwenye uumbaji? Hahaha
Ha haha nishaumizwa hapa, sijui nije?Wakikuumiza huko karibu sana uje kulipizia kwanguu....
Sema tu, hata wewe nilitegemea unanipenda kisiri siri kumbe holaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Acha nikae kimya tu
Hivi kama nilishindwa kumwambia yeye unafikiri wewe nitakwambia🤣🤣🤣fogetiHebu nitanie huyo mangi kwanza nimjue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitamtaja siku ya wanaume duniani.Wewe unampenda nani ?
Akuuuuu😁😁😁mpatie Fina bhana yangu nitachukua mwakani panapo majaliwa yakeSasa unavyoniringia je? Acha uzembe njoo nkupe zawadi ya Supawumani 😻
Ai thubutuuuuu.hakuna atakaeijua hii siri aisehNi katika kufarijiana
Pole mkuu! Ila kama una familia naye anayo aah baki tu kuwa crush wake hivo basi iishie hivo na huenda hadi anakublock sababu anahofia na anaipenda ndoa yake! Pia Imagine mkeo yupo humu na anasoma huu uzi atafeel vipi? Mke wako mwenyewe ni mimi hapa hakika nimejiskia vibaya🙄🙄Ameniblock sijui hata kama anasoma huu uzi, ningejua na mimi ningemfata PM kwa gia ya msaada labda by this time tungekua pazuri
🤣🤣🤣chizi kabisa bastaI am the husband and im too proud of screwing your ass! Pleasures all mine😝
Huyu mleta mada kanikosha sio siri👍👍Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my heart, sina uhakika kama unajua kwa sababu sijawahi kukutamkia, whenever i log in here, the first person to look for is you, huwa naangalia umecomment nini, umelike kwa nani, na nani amekumention, naweza kuingia JF mwezi mzima nisiseme chochote, nakuangalia tu wewe naona furaha
You are a beautful soul, a real woman, wife material, a mother, smart, and God fear.
Kuna wakati huwa natamani nikuibukie PM ila naogopa, najua umeolewa na una familia, huwa hujichanganyi sana hapa jukwaani na huwa huchangii kwenye nyuzi zenye matani mengi
Ni mshauri mzuri sana, you respect everyone na sio rahisi ukwaruzane na watu.kuna wakati huwa unapoa kabisa kama vile haupo, sijui nikuambiaje wewe mwanamama, nakupenda hadi nahisi kupoteza fahamu, kila nikijitahidi kukutoa akilini mwangu nafeli
Kuna wakati nilikutumia PM za salamu, hukuwahi kunijibu hata moja wala hukuonyesha kujali.niliumia sana, nilikata tamaa ya kuendelea kukutafuta PM na sikua hata na ujasiri wa kueleza hisia zangu juu yako, tatizo ni kwamba you are too perfect kila nikiangalia sioni dosari yako
Huwa nasikia wivu nikiona mtu amekusifia au amekumention kwa jambo lolote, tena nikiona kidume amekuwekea emoj za love basi hali ya hewa huwa inabadilika hata nyumbani huwa sitaki hata wife anisemeshe. natamani ningekua nakumiliki wewe, nikuchunge na kukuficha
Aaah siwezi kuendelea kusema ila leo nimeamua nitoe ya moyoni labda nitapata ahueni.I do admire you secretly mama.
Karibuni tuwatakie wale secret admirers wetu heri ya siku ya wanawake
Nakusubiriiii...mbona hutokeii?Ha haha nishaumizwa hapa, sijui nije?
Mi nimesusa akupe tu wewe kama alivokusudia😀😀 kwanza nimemuacha! Mchukue na yeye kama zawadi yangu kwako.😀Akuuuuu😁😁😁mpatie Fina bhana yangu nitachukua mwakani panapo majaliwa yake
Hujakosea kabisaa kwenye mategemezi yako....shida ipo kwenye kuanzisha kauzi sasa hawa binadamu wanafukua makaburii hahahahSema tu, hata wewe nilitegemea unanipenda kisiri siri kumbe holaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeweka huu uzi kama confession na ndio maana nimesema the woman has no time yaani haingiliki kirahisi, the only way i can swallow this ni kutua huu mzigoPole mkuu! Ila kama una familia naye anayo aah baki tu kuwa crush wake hivo basi iishie hivo na huenda hadi anakublock sababu anahofia na anaipenda ndoa yake! Pia Imagine mkeo yupo humu na anasoma huu uzi atafeel vipi? Mke wako mwenyewe ni mimi hapa hakika nimejiskia vibaya[emoji849][emoji849]