My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Mara ya kwanza niliona umechangia uzi fulani back in 2014, nilikua mgeni hapa JF ila i can't tell how i felt about you nakuadmire secretly, since then, i promised myself to love you with all my heart, sina uhakika kama unajua kwa sababu sijawahi kukutamkia, whenever i log in here, the first person to look for is you, huwa naangalia umecomment nini, umelike kwa nani, na nani amekumention, naweza kuingia JF mwezi mzima nisiseme chochote, nakuangalia tu wewe naona furaha

You are a beautful soul, a real woman, wife material, a mother, smart, and God fear.

Kuna wakati huwa natamani nikuibukie PM ila naogopa, najua umeolewa na una familia, huwa hujichanganyi sana hapa jukwaani na huwa huchangii kwenye nyuzi zenye matani mengi

Ni mshauri mzuri sana, you respect everyone na sio rahisi ukwaruzane na watu.kuna wakati huwa unapoa kabisa kama vile haupo, sijui nikuambiaje wewe mwanamama, nakupenda hadi nahisi kupoteza fahamu, kila nikijitahidi kukutoa akilini mwangu nafeli

Kuna wakati nilikutumia PM za salamu, hukuwahi kunijibu hata moja wala hukuonyesha kujali.niliumia sana, nilikata tamaa ya kuendelea kukutafuta PM na sikua hata na ujasiri wa kueleza hisia zangu juu yako, tatizo ni kwamba you are too perfect kila nikiangalia sioni dosari yako

Huwa nasikia wivu nikiona mtu amekusifia au amekumention kwa jambo lolote, tena nikiona kidume amekuwekea emoj za love basi hali ya hewa huwa inabadilika hata nyumbani huwa sitaki hata wife anisemeshe. natamani ningekua nakumiliki wewe, nikuchunge na kukuficha

Aaah siwezi kuendelea kusema ila leo nimeamua nitoe ya moyoni labda nitapata ahueni.I do admire you secretly mama.

Karibuni tuwatakie wale secret admirers wetu heri ya siku ya wanawake
Mkuu. Nimefungua hizi codes 100%. She is a very unique woman na kimbilio la wengi tunapohitaji msaada.

Ila kwa vile ameolewa, na wewe umeoa; mbakize tu katika hii stage ya u-crush. Ikimbie dhambi inayokuandama.

Mwenyewe akisoma hapa atajijua. Mwanamke wa shoka. Young but extremely talented, humble, God fearing and a real exceptional human being [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nitafanya hivyo
Sasa unaongea.
Mbinu ni moja tuu..

Tengeneza mazingira ya kulike kumquote na mengineyo.

Hakikisha mwandiko wako hauko siriazi sana unapomqoti...utafeli.kuwa kawaida maisha ni mafupi kuliko unavyodhani😁😁 kumquote halafu ukamkosea adabu atakushusha.taratibu kabisa mambo yatakuwa poa.

Kila la kheri brother

Ni married woman chunga sana.heshimu ndoa yake takatifu
 
Mkuu. Nimefungua hizi codes 100%. She is a very unique woman na kimbilio la wengi tunapohitaji msaada.

Ila kwa vile ameolewa, na wewe umeoa; mbakize tu katika hii stage ya u-crush. Ikimbie dhambi inayokuandama.

Mwenyewe akisoma hapa atajijua. Mwanamke wa shoka. Young but extremely talented, humble, God fearing and a real exceptional human being [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu SHIMBA YA BUYENZE nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Sasa unaongea.
Mbinu ni moja tuu..

Tengeneza mazingira ya kulike kumquote na mengineyo.

Hakikisha mwandiko wako hauko siriazi sana unapomqoti...utafeli.kuwa kawaida maisha ni mafupi kuliko unavyodhani[emoji16][emoji16] kumquote halafu ukamkosea adabu atakushusha.taratibu kabisa mambo yatakuwa poa.

Kila la kheri brother

Ni married woman chunga sana.heshimu ndoa yake takatifu
Nimeshakula block mpaka sasa
 
Ulishawahi kupenda, kumpenda mtu kutoka ndani ya moyo wako?
Kwani ulishawahi kuonana naye? Au ni avatar tu na michango yake ndiyo ilikudatisha? Ukija kubahatika kumuona halafu ugundue ni toto moja refu jeupe somi la Kibarbaig umbo mkatiko utafanyeje wakati umeoa na yeye kaolewa?

Nakwambia tena let it go [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeeleza hapo juu kwamba michango yake inanivutia, how smart she is, mnyenyekevu na ofcourse najua kila myu hapa anampenda ndio maana mnanipiga vita

Haijalishi nimemwona au laa ila tu nampenda, they way she sounds i know she is beautful

Mwisho wa siku sio dhambi kueleza hisia zangu juu ya mtu, nimemkaribisha kila mtu atoa heri ya siku ya wanawake kwa crush wake nashangaa mmebaki mnanishambulia

Mkuu hebu tulia kwanza wewe niache nielezee hisia zangu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom