Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,437
@Eli79[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi lakini si umtaje tu wako au nawe unasubiri sikukuu ya wanaume duniani
@Eli79[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi lakini si umtaje tu wako au nawe unasubiri sikukuu ya wanaume duniani
Huyo kashindikana.Juzi nilimkuta mahali anajisifia kutongoza mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Nikasema huyu mbona dhambi zote anataka azifanye hataki kukwepa hata moja!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Crush wangu wa wa humu jitokeze kabla sijakutaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nimwage mchele na Mimi[emoji2960]
Yalonisibu nafsini mwaka juzi[emoji1787]
Hahaha mm kuna pisi niliambia.. ATU unamtetea sana huyo jamaa, nilipompiga moto kwa mkia wangu, sikusikia tena hayo makekePole sana, a similar situation, the woman is so proud of his husband and the kids mpaka naogopa naingiaje
Yani mnagawana mie kama lawalawa😹😹😹 muogope mungu we KidelaMi nimesusa akupe tu wewe kama alivokusudia😀😀 kwanza nimemuacha! Mchukue na yeye kama zawadi yangu kwako.😀
Hawa hawawezi kuwa japo nao wanaqualify kabisa kabisa tena mno. Mtoa mada anasema alidata baada ya kuona crush wake kachangia uzi fulani mwaka 2014. Carleen na Paula Paul siyo wakongwe kihivyo labda kama walikuwepo halafu wakabadili ID...Maelezo yanaelekea kumlenga Paula Paul hivi ila kama yanakataa hivi yanamuendea Carleen kwa mbali. Mi sio mnajimu ila mtoa mada hawezi kuwa mbali na hizo ID[emoji81]
Hujakosea, Ni mimiGood to see you.
Ni Wewe[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kucrush na hizo ID kabisaaa, too far, wenye akili tu hapa ndio wameshamjuaMaelezo yanaelekea kumlenga Paula Paul hivi ila kama yanakataa hivi yanamuendea Carleen kwa mbali. Mi sio mnajimu ila mtoa mada hawezi kuwa mbali na hizo ID[emoji81]
Huyu haingiliki mkuu, ninejaribu sana, kwanza sidhani hata mana PM huwa anajibu, kuna wakati nilipanga kabisa nimwage makopa nikakuta PM amefungaHahaha mm kuna pisi niliambia.. ATU unamtetea sana huyo jamaa, nilipompiga moto kwa mkia wangu, sikusikia tena hayo makeke
Mwaga tu dadaakeCrush wangu wa wa humu jitokeze kabla sijakutaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nimwage mchele na Mimi[emoji2960]
Yalonisibu nafsini mwaka juzi[emoji1787]
Crush wangu wa wa humu jitokeze kabla sijakutaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nimwage mchele na Mimi[emoji2960]
Yalonisibu nafsini mwaka juzi[emoji1787]
@Depal hujambo mdogo wangu??Yh! It happened kwa yoyote yule 'in a lifetime!
1. High school, nilikuwa nikimuona napata mpaka mshtuko [emoji3] ila akaja kunitaka kipindi ambacho nishamuona wa kawaida sanaaaaa..
2. Nilim'crush mtu humu ndani, nikiona ameniqoute nitasmile hapo nakuwa sina tofauti na chizi fresh. Mbaya zaidi ilikuwa mpaka akuqoute aisee inachukua muda... Wonders shall never cease, alivyoanza kunilike na kuniqoute zile feelings zimekufa [emoji10] ila bado iko siku nitakayomwambia 'hapo zamani kidogo palikuwa na moja na mbili.
3. Alinipenda yeye, akanifanya nikampenda boom kitumbua kikaingia mchanga.... Ehehe sitaki kukumbuka vile nili'struggle kumsahau na kumuona wa kawaida. Naishukuru akili ilifanikiwa now nimejifunza zile za mguu nje mguu ndani, Mimi kwanza wengine baadaye...Na'enjoy kwa kweli
Hahaha, acha mambo yako babe! Wewe mseme tu wala sitalia...
Na tunavyopendana mpk korona inaona wivu..🤣woow Mzidi kupendana mkuu
Me wangu nisubiri siku ya wanaume nifunguke ya moyoni❣️
Cc...
😅😅😅siyo korona tu haha Mimi ila kwakuwa crush wangu yupo wacha sikukuu ifike niseme ya moyoniNa tunavyopendana mpk korona inaona wivu..🤣
Nachangamsha genge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzalendo unakushinda mdogo angu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wewe umepotea kabisa[emoji1787]Maelezo yanaelekea kumlenga Paula Paul hivi ila kama yanakataa hivi yanamuendea Carleen kwa mbali. Mi sio mnajimu ila mtoa mada hawezi kuwa mbali na hizo ID[emoji81]