Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Kwanini mama mkwe? Mimi si ndio chaguo lake tabia zinabadilikaKhaaah!! Binti yangu atakuwa kamkosea nini Mungu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kwanini mama mkwe? Mimi si ndio chaguo lake tabia zinabadilikaKhaaah!! Binti yangu atakuwa kamkosea nini Mungu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Pole sana mkuuNajitahidi kuukubali ukweli lakini moyo umekataa
Mimi wangu uzalendo ulinishinda nikaamua kumtamkia tu mom! Ila kabla sijamfahamu nilikuwaga secret admirer tu na nilikuwaga nateseka kama mtoa mada tu na nilitamani ibaki hivyo milele sema uvumilivu ulinishinda!Dota hebu funguka[emoji848]
Funguka
Nishafunguka! Ila huyo wako ni kama nimeshammanya hivi!Mimi wangu uzalendo ulinishinda nikaamua kumtamkia tu mom! Ila kabla sijamfahamu nilikuwaga secret admirer tu na nilikuwaga nateseka kama mtoa mada tu na nilitamani ibaki hivyo milele sema uvumilivu ulinishinda!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Khaaah!! Binti yangu atakuwa kamkosea nini Mungu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Haha hivi hii id yangu inawachanganyaga nini watu wakati hili ni jina la kike kabisa? Kwahiyo kaharibu hapo aliposema dota eh?Shukrani kwa msaada maana ID nyingine ni ngumu kujua kama ni ME au KE.
Wewe huwezi kuwa chaguo lake.Kwanini mama mkwe? Mimi si ndio chaguo lake tabia zinabadilika
Wacha bwana!!Mimi wangu uzalendo ulinishinda nikaamua kumtamkia tu mom! Ila kabla sijamfahamu nilikuwaga secret admirer tu na nilikuwaga nateseka kama mtoa mada tu na nilitamani ibaki hivyo milele sema uvumilivu ulinishinda!
Eti hadi Mungu akupe mume kama Hazard CFC utakuwa umekosea nini kustahili adhabu hiyo[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nasubiri anitamkie personally..sijui anaogopa nini maskini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu member ndio kwanza namuona leo kwenye uzi wangu, simjui kabisa
Haha hivi hii id yangu inawachanganyaga nini watu wakati hili ni jina la kike kabisa? Kwahiyo kaharibu hapo aliposema dota eh?
Juzi nilimkuta mahali anajisifia kutongoza mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Nikasema huyu mbona dhambi zote anataka azifanye hataki kukwepa hata moja!Eti hadi Mungu akupe mume kama Hazard CFC utakuwa umekosea nini kustahili adhabu hiyo[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Na ndio maana naipenda hii id, juzi niliambiwa nimekalisha mapu....u haki nilicheka[emoji1787][emoji1787]
Juzi nilimkuta mahali anajisifia kutongoza mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Nikasema huyu mbona dhambi zote anataka azifanye hataki kukwepa hata moja!
Shoga yangu nilikushauri ulieudishe jina la Marianah au lile la mwanzo kabisa.Haha hivi hii id yangu inawachanganyaga nini watu wakati hili ni jina la kike kabisa? Kwahiyo kaharibu hapo aliposema dota eh?
[emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3]Hajaharibu ila kakusaidia usiulizwe hivi wewe ni ME au KE? Tuanzie hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee njoo uninong'oneze na mimiMimi wangu uzalendo ulinishinda nikaamua kumtamkia tu mom! Ila kabla sijamfahamu nilikuwaga secret admirer tu na nilikuwaga nateseka kama mtoa mada tu na nilitamani ibaki hivyo milele sema uvumilivu ulinishinda!