Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Pole sana Siti wa Sitawa na Ujamilifu, Wewe ni Mrembo ingawa Umri umekwenda... Huyu FISADI mtakatishaji ESCROW via Kodi anazidi Kuumbuka... How come alianza form one akiwa na 19 years? ... alisahau kuwa siasa siku zote huanika kende hadharani! Ona sasa Duburi lote liko nje ... Kwishei...
 
basi atuletee kadi ya clinic.huyu jamaa naona urais kaukurupukia kutoka usingizi wa pono! Kikwete kaiharibu taasisi ya urais sana na kama tutaendelea hivi hadhi ua urais kwa tanzania itatokomea mbali!!!

Rais hawi hivi! Hii ni kashfa kubwa sana!

big true
 
Acheni kuchafuana, umri kitu gani bhana hapa, hili tatizo la majina na umri ni common kwa wananchi wengi hapa nchini hata viongozi pia wa ccm na upinzani.
 
yeah Victorie nasikia wanakosea sana vyeti vya watu sio grades sio majina sio miaka ya kuzaliwa/kumaliza n.k. katika hili nadhani cheti chake cha kuzaliwa ndio mwamuzi wa mwisho....ole wake alete kama cha Sitti Mtemvu......

Mkuu yawezekana kweli labda chuo walikosea bt yeye hakuona hilo kama ni tatzo, alichukua hatua gani?. Aje atujibu kama alivokuja kukanusha suala la kupotea kwa chopa. Tusimsemee plz!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitabu kiliandikwa kuhusu vigogo walioghushi vyeti vyao vya shule na vyo. Serikali ikahamaki na kuja juu kukipiga marufuku.

Sasa wenye data wameona isiwe taabu.... mambo hadharani.

Tuwaumbue wote! Uongo wa namna hii hauna tofauti na wizi!
 
Mkuu yawezekana kweli labda chuo walikosea bt yeye hakuona hilo kama ni tatzo, alichukua hatua gani?. Aje atujibu kama alivokuja kukanusha suala la kupotea kwa chopa. Tusimsemee plz!!!

Mkuu hatumsemei as such maana mm sina mahusiano naye wala.simfahamu personally hapa tunaspeculate tu ni wajibu wale.aje atoe ufafanuzi wa kwa nn ana tarehe mbili za kuzaliwa na kama kuna makosa kwa nn hajayashughulikia
 
Pole sana Siti wa Sitawa na Ujamilifu, Wewe ni Mrembo ingawa Umri umekwenda... Huyu FISADI mtakatishaji ESCROW via Kodi anazidi Kuumbuka... How come alianza form one akiwa na 19 years? ... alisahau kuwa siasa siku zote huanika kende hadharani! Ona sasa Duburi lote liko nje ... Kwishei...

Kwenye red, simtetei kwa sababu kadanganya umri lakini kuchelewa kuanza shule "form one "akiwa na 19 yrs inawezekana kutokana na matatizo ambayo huenda yakachangia kuchelewa kuanza shule. Mm nilianza Form One nikiwa tayari nina 20!!!!!.

Jamani mpaka sasa Mwigulu Nchemba hajatokea kujibu shutuma zake za kudanganya umri ni-page ya 12 hii?

mbona analeta dharau huyu dogo?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mwaka wake wa kuzaliwa ''official'' ni 1975, ndo maana majuzi hapa wajumbe wa kamati flani walishangilia na kumpongeza kutimiza miaka 40.

Kuna uwezekano mkubwa sana hiyo Transcript ya chuo imekosewa, kwa bahati mbaya. Nilishawahi kukutana na tatizo kama hilo. Sidhani kama hii hi issue kuuuubwa kwa ''wabaya'' wake kuishikia bango kihivyo.

Hicho cheti cha Leaving Certificate cha Secondary kinaonyesha kazaliwa 1975 na form One kaanza 1994!!!

Ina maana kaanza Secondary akiwa na miaka 19?!!! Kuna kitu hakipo sawa hapo.
 
Duh! Ina maana amedanganya bung..! no! umma!? sokoine wa 2 gani mwong...O?
 
Kwenye red, simtetei kwa sababu kadanganya umri lakini kuchelewa kuanza shule "form one "akiwa na 19 yrs inawezekana kutokana na matatizo ambayo huenda yakachangia kuchelewa kuanza shule. Mm nilianza Form One nikiwa tayari nina 20!!!!!.

Yes Mwigulu akiitwa Lameck Madelu alifeli mara 3,badae akaiba jina la mtoto wa masikini Mwigulu Nchemba ndio lililopelekea kutumia jina lisilo lake
 
Kinana amempiga STOP kufanya mikutano huko mikoani. Amedaiwa kufanya kampeni kinyume cha taratibu.

CCM watatafutana SANA mwaka huu! Uraisi umekuwa DILI!
 
Back
Top Bottom