Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri


attachment.php

attachment.php


Naanza kuthibitisha zile habari kuwa hata Mwigulu L. Nchemba si jina lake la ukweli......
Hapa Tanzania wapo wengi sana waliojitumbukiza kwenye hii dhambi ya kufoji taarifa muhimu kama majina na miaka ya kuzaliwa!!
 
Aisee siamini,Mwigulu njoo utufungue macho,maana mimi ni mmoja wa wanaukukubali
Acheni kuchezea mwigulu ni mtu serikali angalieeni,,,,,, hii nchi kwa propagaanda inazidi mpaka china
 
Nzuri kwa kweli,unajua kuliko lowasa,magufuli,makamba,nyalandu atleast nilikuwa namkubali Mwigulu ila na yeye hapa kanichanganya.

hhahahahaha ndiyo ilivyo we acha tu. Ukiingia kwenye siasa haya ndiyo huwa yanajitokeza maana kuna watu wanakujua wewe kuliko hata wewe na wazazi wako. Unakumbuka hata kipindi Obama anagombania uraisi kuhusu cheti chke cha kuzaliwa?
 
hhahahahaha ndiyo ilivyo we acha tu. Ukiingia kwenye siasa haya ndiyo huwa yanajitokeza maana kuna watu wanakujua wewe kuliko hata wewe na wazazi wako. Unakumbuka hata kipindi Obama anagombania uraisi kuhusu cheti chke cha kuzaliwa?
Bora Mwigulu aje asafishe hali yahewa,isije ikawa watu wamefoji kumuharibia
 
Mimi ninampongeza kwenye matokeo yake ya chuo.

Haya mambo ya miaka ya kuzaliwa kwa Tanzania bado ni kizungumkuti.

Kuna watu wengi tu ambao nawafahamu walirudia mitihani kwa majina yao au majina ya watu wengine ambao waliacha shule. Kwa sasa wana nafasi nzuri kimaisha na kikazi.

Kuna watu wengine wengi tu walizaliwa katika mazingira ya kimasikini kiasi kwamba hata wazazi wao hawakufahamu kusoma na kuandika kwa maana kuwa, hata miaka yao halisi ya kuzaliwa hawaifahamu bali wamebuni tu.
 
Hii ni kweli au ni forgery watu wame-edit hicho cheti? Km ni kweli basi namuonea imani sana huyu kubwa jinga
 
Kiongozi wa kitaifa unaanzaje kudanganya umma kuhusu umri? Sasa Urais atagombeaje aliyezaliwa 1978? Mwigulu Nchemba njoo hapa useme kilichotokea katika vyeti vyako
 
Nadhani mwaka wake wa kuzaliwa ''official'' ni 1975, ndo maana majuzi hapa wajumbe wa kamati flani walishangilia na kumpongeza kutimiza miaka 40.

Kuna uwezekano mkubwa sana hiyo Transcript ya chuo imekosewa, kwa bahati mbaya. Nilishawahi kukutana na tatizo kama hilo. Sidhani kama hii hi issue kuuuubwa kwa ''wabaya'' wake kuishikia bango kihivyo.
 
Hivi huyu jamaa ni kweli kabisa kwamba ni msomi haswa aliyesoma na akafaulu vizuri au?
Nauliza hivi kwa sababu huwa namuonaga hata ongea yake ni kama anagushi, 'eeeh eeeh eeeh' yaani hajiamini na akiongea huwa anaongea pumba tu.
Sasa hapo ndipo huwa najiuliza huyu mtu ni timamu kweli mental &physical?

Anaweza ugaidi tu huyu jamaa.
 
atakaposhtuka muda utakuwa umekwenda biashara itakuwa imekwisha
ila bora wamewahi kuleta,unajua watanzania ni wepesi wa kusahau,hili nalo litapita,na mwaka huu tutayajua mengi ya ukweli na ya uongo.
 
Back
Top Bottom