Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Ukawa na wasaka Urais uchwara wamepigwa dhoruba kali na Ujio mpya wa Kijana mzalendo katika mbio za Urais ndugu Mwigulu (Sokoine 2). Mwigulu usitishwe na uzushi huu Watanzania wanakuhitaji zaidi ya hao wazushi kwa kweli Mwigulu hazuiliki Octoba 2015

Acha kupoteza bando zako kuandika upuuzi.
 
Tutasikia mengi kwa hawa jamaa zetu, tatizo ni ukoo wao wa panya.
 
Kuna watu wanamponda mchumi kama mwigulu wakati wao wana pass tena za sup na carry
Sorry for Master ni Pass tu hakuna first class sijui upper second,hakuna..NO CLASSFIED FOR MASTER DEGREES
 
Mwigulu hawezi kujahapa wewe, habarza kweli atakanushaje?

Wanachunguliaga tu halafu hawaonekani tena, nondo za jf sio mchezo wewe, si unakumbuka mama Tiba aliingia tena kwa kujitambulisha kabisa na kusema kuwa atashirikiana nasi bega kwa bega, mlimuona tena?
 
Mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona..tunataka majina yake halisi hapa.inasemekena alipoka nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu kwenda sekondari

Hiyo GPA inaonesha jamaa alivyo mzima. Kumbe kuna vijana wengi hawakufaulu kwenda secondary enzi hizo lakini ni brilliant.
Kwa Tanzania kurudia! !!
Mbona ikifuatiliwa ni asilimia kubwa sana.
Lakini hapo kwenye issue ya umri atuambie which is which! !!
 
Sasa nimepata ukweli, nilikuwa na mashaka na umri wake, kumbe ulikuwa umri fojari: kumbe wapo wengi
 
mwingulu anahangaika sana lakini urais hawezi kabisa huyu jamaa
 
Hiyo GPA inaonesha jamaa alivyo mzima. Kumbe kuna vijana wengi hawakufaulu kwenda secondary enzi hizo lakini ni brilliant.
Kwa Tanzania kurudia! !!
Mbona ikifuatiliwa ni asilimia kubwa sana.
Lakini hapo kwenye issue ya umri atuambie which is which! !!

hoja siyo uwezo Wa nchemba bali why aliforge vyeti
 
mwingulu anahangaika sana lakini urais hawezi kabisa huyu jamaa
Anaweza kuwa waziri wa Polisiccm, sijui ni idara gani, ila idara ya kuua raia bila sababu, kumbuka alichofanya Arusha
 
hili sio swala dogo kwa mtu kama yeye..

Udanganyifu ni chanzo cha mambo mengi mabaya,kwa hiyo unaposema swala dogo si kweli,hata kwa wadhifa aliokua nao sasa na hiyo historia ya udanganyifu moja kwa moja hafai kwenye hiyo nafasi kama ni kweli,watanzania tuamke jamani tuache blabla!
 
Hivi huyu jamaa ni kweli kabisa kwamba ni msomi haswa aliyesoma na akafaulu vizuri au?
Nauliza hivi kwa sababu huwa namuonaga hata ongea yake ni kama anagushi, 'eeeh eeeh eeeh' yaani hajiamini na akiongea huwa anaongea pumba tu.
Sasa hapo ndipo huwa najiuliza huyu mtu ni timamu kweli mental &physical?

Ana kigugumizi kikubwa ila huwa anajaribu kukificha ndo sababu ya hizo eeeeh, aaaaah nk. Pamoja na hayo bado hana skills za kuongea kwenye public.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Back
Top Bottom