Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Naanza kuthibitisha zile habari kuwa hata Mwigulu L. Nchemba si jina lake la ukweli......
Hapa Tanzania wapo wengi sana waliojitumbukiza kwenye hii dhambi ya kufoji taarifa muhimu kama majina na miaka ya kuzaliwa!!

Huo ndio ukweli mkuu hata ile kodi aliyojinadi bungeni kuwa italipwa haijalipwa mpaka sasa ni mpuuz huyu jamaa
 
Jamani punguzeni kelele apo kwa mchumi namba moja itakuwa typing error tu amezaliwa '1975'......

Hao UDSM ni mabingwa wa kukosea,wanaweza kosea hata matokeo yako,mimi naona mwigulu atuletee cheti chake cha NECTA ,hao Udsm watakuwa wamekosea
 
Huyu Mwigulu Nchemba kuna ripoti kwamba hata jina si lake, katumia jina la mtu tu kusomea.
 
Mimi ninampongeza kwenye matokeo yake ya chuo.

Haya mambo ya miaka ya kuzaliwa kwa Tanzania bado ni kizungumkuti.

Kuna watu wengi tu ambao nawafahamu walirudia mitihani kwa majina yao au majina ya watu wengine ambao waliacha shule. Kwa sasa wana nafasi nzuri kimaisha na kikazi.

Kuna watu wengine wengi tu walizaliwa katika mazingira ya kimasikini kiasi kwamba hata wazazi wao hawakufahamu kusoma na kuandika kwa maana kuwa, hata miaka yao halisi ya kuzaliwa hawaifahamu bali wamebuni tu.

Huyu hapa mwigulu amekuja kujitetea kivingine haya mh. Tueleze ilikuwaje uzaliwe mara mbili ?????
 
Ila amejitahidi kuanza shule mwaka 1987 akiwa na miaka 12 ambapo waliozaliwa mwaka mmoja 1975 mwaka huo walikuwa darasa la 4 lakini kama ni super tall darasa 5 au 6 maana kipimo ilikuwa ni kushika sikio ambalo inategemea na mwili wako. Nadhani alipiga hesabu akaona aliosoma nao wengi wamezaliwa mwaka 77 mpaka 78 akaona achakachue kidogo
 
Huyu Mwigulu Nchemba kuna ripoti kwamba hata jina si lake, katumia jina la mtu tu kusomea.
Si unajua miaka ya zamani ilikua issue kufaulu?Alifeli baade akaenda kurudia shule ya msingi kwa kutumia jina la mtu mwingine,ila nampongeza sana maana baadae alifaulu, na leo ni Mchumi msomi
 
Nadhani mwaka wake wa kuzaliwa ''official'' ni 1975, ndo maana majuzi hapa wajumbe wa kamati flani walishangilia na kumpongeza kutimiza miaka 40.

Kuna uwezekano mkubwa sana hiyo Transcript ya chuo imekosewa, kwa bahati mbaya. Nilishawahi kukutana na tatizo kama hilo. Sidhani kama hii hi issue kuuuubwa kwa ''wabaya'' wake kuishikia bango kihivyo.

Inamaana yeye hakuliona hilo tangu mwanzo? the same to you? unatumia certificate zenye umri tofauti? Uko serious....
 
Hao UDSM ni mabingwa wa kukosea,wanaweza kosea hata matokeo yako,mimi naona mwigulu atuletee cheti chake cha NECTA ,hao Udsm watakuwa wamekosea

yeah Victorie nasikia wanakosea sana vyeti vya watu sio grades sio majina sio miaka ya kuzaliwa/kumaliza n.k. katika hili nadhani cheti chake cha kuzaliwa ndio mwamuzi wa mwisho....ole wake alete kama cha Sitti Mtemvu......
 
Last edited by a moderator:
Si unajua miaka ya zamani ilikua issue kufaulu?Alifeli baade akaenda kurudia shule ya msingi kwa kutumia jina la mtu mwingine,ila nampongeza sana maana baadae alifaulu, na leo ni Mchumi msomi

Mtu ambaye alidanganya jina hata huo usomi nao si ajabu kama kadanganya.

Hususan kama matendo na kauli zake haviendani na usomi.

Unaweza kufoji jina na vyeti, huwezi kufoji elimu.
 
Jamani punguzeni kelele apo kwa mchumi namba moja itakuwa typing error tu amezaliwa '1975'......

Mchumi gan hajui mwaka aliozaliwa ? alipataje mathematics A while kuhesabu miaka hawezi?
 
Nadhani mwaka wake wa kuzaliwa ''official'' ni 1975, ndo maana majuzi hapa wajumbe wa kamati flani walishangilia na kumpongeza kutimiza miaka 40.

Kuna uwezekano mkubwa sana hiyo Transcript ya chuo imekosewa, kwa bahati mbaya. Nilishawahi kukutana na tatizo kama hilo. Sidhani kama hii hi issue kuuuubwa kwa ''wabaya'' wake kuishikia bango kihivyo.

Of course sasa hivi atasema 1975.

Si anautaka urais?
 
Ila amejitahidi kuanza shule mwaka 1987 akiwa na miaka 12 ambapo waliozaliwa mwaka mmoja 1975 mwaka huo walikuwa darasa la 4 lakini kama ni super tall darasa 5 au 6 maana kipimo ilikuwa ni kushika sikio ambalo inategemea na mwili wako. Nadhani alipiga hesabu akaona aliosoma nao wengi wamezaliwa mwaka 77 mpaka 78 akaona achakachue kidogo

Kweli kabisa mwingulu aje hapa kuthitisha umri wake..
 
Kwanini Waziri unadaganya umri? Njoo hapa ukanushe kuwa kama vyeti si vyako...Sitti mtemvu part 2

Tusipaniki tu wadau ...je hivyo vyeti viko certified? hasa hiyo leaving certificate ambayo inaweza tengenezwa hapo kariakoo dk sifuri tu nikaleta hapa na kubandika. Tuwe tuna tathmini kwa kina baadhi ya vitu. Kumbuka politcs is a dirty game.
 
tutaendelea kugundua mengi bado anapoteza muda wake bure kuzunguka na chopa angani kuusaka uraisi atahangaika sana hatuwezi kukubali kuendelea kuongozwa na viongozi wana uongo kama huyu ..miss siti alivuliwa umiss kwa kukadanganya umri ni zamu ya JK naye kumfukuza unaibu waziri wa pesa na nafasi ya unaibu katibu wa ccm la sivyo siti arudishwe kwenye umiss wake.
 
Back
Top Bottom