Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,493
Hakuna ndugu hata mmoja wa Mwigulu mwenyewe ubini wa Nchemba. Huu ujanja ujanja
Zoezi limekamilika,amsha dudeWasubiri zoezi la uhakiki kukamilika
Na sasa minista ako wa finansi, utake usitake.Hivi huyu jamaa ni kweli kabisa kwamba ni msomi haswa aliyesoma na akafaulu vizuri au?
Nauliza hivi kwa sababu huwa namuonaga hata ongea yake ni kama anagushi, 'eeeh eeeh eeeh' yaani hajiamini na akiongea huwa anaongea pumba tu.
Sasa hapo ndipo huwa najiuliza huyu mtu ni timamu kweli mental &physical?
Kumbe hata mimi watu wanaweza kuwa na historia yangu nzuri tu kuliko mm mwenyewe ninavyojijuaMimi nasangaa Mwigulu na mimi kwa yeye anavyosema tumezaliwa mwaka mmoja na tumesoma shule ya O-level mmoja. Cha ajabu nimempita madarasa matano (5). Yaani wakati namaliza Form 4 mwaka 1993 yeye alikuwa hajaanza hata form 1 mpaka miaka mingine miwili nyuma! ![emoji23]. Yaani ina maana kaingia Form 1 na miaka 20 wakati mimi nikiwa Form 6. Sasa nashangaa walimpokea vipi special student pale Ilboru kijana wa miaka 20 form 1 sio sawa kwa vijana wengine. Mimi niliingia Form 1 kabla hata ya miaka 15 haijafika.
DuhSiku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake. Sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti.
Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978, cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975.
Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti.
Source: Wall page IG by Alberto msando.
View attachment 220377
View attachment 220378