palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
....Namie naongezea a.k.a Muhongo ama Purofesa muongo...Ha ha haha!! Hapo atakwambia aliyetype alikosea.
Mchumi no. 1 huyu a.k.a Nyerere a.k.a Sokoine.
Na mimi namuongezea a.k.a Mulugo
muluugo alikuwa na majina zaidi ya sita tofauti, alilozaliwa lingine, primary lingine, olevel lingine, advance na chuo ni tofauti, jina la kufanyia kazi ni tofauti pia.
alikuwa akiitwa philip philipo- mwamulungu mulungu, mulogo
....Namie naongezea a.k.a Muhongo ama Purofesa muongo...
Jina kamili: Mkumbo
Jina la Baba: Lameck Madelu.
.....Nchemba hapa iko wapi?
Eti Rais? Mawe?
Kiongozi wa kitaifa unaanzaje kudanganya umma kuhusu umri? Sasa Urais atagombeaje aliyezaliwa 1978? Mwigulu Nchemba njoo hapa useme kilichotokea katika vyeti vyako
kama kiongozi mkubwa kama huyu anashindwa kuwa mkweli katika suala la kutaja kwa usahihi mwezi na mwaka kuzaliwa, je leo ataweza kutaja na kutafuta masuluhisho ya matatizo ya nchi???
Na huyu kesho mtasikia anapewa uwaziri kamili, au ubalozi au kesho kutwa utasikia ni gavana....
Sisitimu hii ya kuteuana tu bila kujali mtu ni msafi kiasi gani ni shida sana
kimoja hicho cha masters kimeandikwa tareh 7/7/1978, na kingine cha o-level ni 7 january 1975!!
Kwenye red, simtetei kwa sababu kadanganya umri lakini kuchelewa kuanza shule "form one "akiwa na 19 yrs inawezekana kutokana na matatizo ambayo huenda yakachangia kuchelewa kuanza shule. Mm nilianza Form One nikiwa tayari nina 20!!!!!.
....Namie naongezea a.k.a Muhongo ama Purofesa muongo...
Jina kamili: Mkumbo
Jina la Baba: Lameck Madelu.
.....Nchemba hapa iko wapi?
Eti Rais? Mawe?
MWIGULU NA SAKATA LA WANAFUNZI KUPELEKWA MAHAKAMANI,
Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini wasema, Mwigulu Nchemba ni mtetezi wa kweli wa Wanyonge, anaitwe SOKOINE WA PILI RASMI.
Kauli ya Ndg Mwigulu Nchemba kuwa wanafunzi wanaotuhumiwa kufanya migomo wasipelekwe MAHAKAMANI kimepokelewa kwa shangwe na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini. Akijibu bango katika mkutano wa hadhara uliofanyika morogoro lililosema SOKOINE WA PILI MALIZA TATIZO LA MIKOPO, ndg Mwigulu alusema nimelipokea, tutahakikisha tunaweka vyanzo vya mapato kwenye mfuko wa elimu. Lakini, sioni mantiki ya kuwapeleka hao wanafunzi mahakamani.
1) Mahakamani wapelekwe wezi na mafisadi waliokwapua mali ya umma na haki za watu sio wanafunzi wanaodai haki zao. Kama wamekisa wapewe adhabu za kiuabafunzi tunazozijua.
2) Tungewapa hela yao kwa wakati wasingegoma, hivyo tiba sio nahakamani bali ni kubana matumizi mengine ili fedha iwafikie wanafunzi kwa wakati
3) Viongozi wa wanafunzi wapo kikanuni na husimamia matakwa ya wanaowaongoza. Ni ama usimamie tunayotaka au ujiuzulu, hivyo kuwa adhibu viongozi kama vinara tena mahakaman nikuwaonea.
4) Hawa ni watoto wa masikini, wamesomeshwa kwa shida, kujibana, kuwafukuza na kuwapeleka mahakamani ni kuiadhibu familia nzima na pengine ukoo mzima.
" TUWAPELEKE MAHAKAMANI WALIOIBA MALI YA UMMA MPAKA WANAFUNZI WAKAKOSA MIKOPO BADALA YA KUWAPELEKA MAHAKAMANI WALIOKOSA MIKOPO" alisema Mwigulu huku akushangiliwa na maelfu ya wananchi wakuwepo wanavyuo.
Yes Mwigulu akiitwa Lameck Madelu alifeli mara 3,badae akaiba jina la mtoto wa masikini Mwigulu Nchemba ndio lililopelekea kutumia jina lisilo lake