Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,675
- 12,433
Kama Sitti Mtemvu ilimgharimu kuvuliwa Taji,sasa huyu si hata Ubunge avuliwe achilia mbali Uwaziri.Nchi hii tufike wakati Sheria zi thaminiwe angalau hata kwa vitu kama hivi ambavyo vipo wazi.Mh.RAIS; hata hili ambalo lipo wazi utaliweka KIPORO?