Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Watanzania wanaweza kumsamehe kwa kuwa alidanganya
kwa faida ya kusoma enzi ile na sasa anatubu dhambi ile
kwa kufanya mrejesho dhidi ya wale aliosafiria nyota zao.

Ni vyema utetezi wake akautoa kwenye tume ya maadili
ya viongozi wa umma.

Lakini pia ni vyema kuzingalia nyaraka hizo/vyeti hivyo kwa makini
kwani lolote laweza fanywa kwa madhumuni ya kufanya siasa.
 
Wadau mm smkubali huyu jamaa bt ukiangalia hvyo vyet kwa umakini hcho cha chuo kmefojiwa na waliofoji wamedanganya na mwgulu kasoma masters ya economics bt apo ni arts only badala ya arts on economcs njia ya mwongo ni fupi naona wagombea urais wanataka kudanganya watanzania kua mwgulu ajafksha miaka 40 baada ya kumshndwa kwa hoja wao wagombea na kna nape
 
soma post namba 241
 
Jaman hajajipanga kujibu maswali kwa leo labda siku nyingineeee
 
1. Aliyezaliwa 1975 ni Mwigulu Nchemba (Mwenye jina HALISI, yaani Mtoto wa Kisukuma, mchungaji wa ng'ombe huko Singida, aliyeacha shule na kwenda kuchunga ng'ombe wa babaye huko Ziwa Kitangiri).
2. Aliyezaliwa 1978 ni MKUMBO Lameck Madelu, ambaye kwanza alimaliza shule mwaka 1992, baada ya kufweli alinunua JINA la Mwigulu Nchemba na ID yake yote, na kuchaguliwa kwenda kusoma Ilboru. Huyu ni binadamu tunayemuona na kumfwahamu.

Sina tatizo la kutafiti umri wake alizaliwa lini kwangu mimi Mwigulu ni kati ya mabogus ambao ni aibu eti leo bila ya sifa yeyote wanajitangaza kugombea urais wa Tanzania. Baada ya upumbavu mwingi alionyesha kutokana na ulimbukeni wake eti naye anafaa kuwa raid!!!! Rais wa ng'ombe ama mbuzi?? Tanzania imekosa watu wasomi na wastaarabu kumchagua Mwigulu kambunga rais??!
 
tusipaniki tu wadau ...je hivyo vyeti viko certified? Hasa hiyo leaving certificate ambayo inaweza tengenezwa hapo kariakoo dk sifuri tu nikaleta hapa na kubandika. Tuwe tuna tathmini kwa kina baadhi ya vitu. Kumbuka politcs is a dirty game.

kama hiyo leaving ndo ilofojiwa na umri wa masters ni sahihi, basi hana vigezo vya urais sababu hajatimiza miaka 40
 
Tatizo la Mwigiru ni kwamba amerudia shule mara nyingi na ndiyo maana anajichanganya kwenye umri wake!. Mimi nimesoma Ilboru kama Mwigiru lakini cha ajabu ni kwamba wakati namaliza form 4 alikuwa hata form 1 hajaingia na inaonekana kwenye vyeti ni mkubwa kuliko mimi kwa miezi sita. Sasa ina maana kamaliza mimi nikiwa form 5 na alikuwa na miaka 19 mwaka 1994 wakati akiingia form 1. Hata kama umetokea kijijini huwezi kuanza form 1 na miaka 19 kama hujarudia shule! huu ni umri wa mtoto wa form 5 au 6 na sio form 1. Waziri wa utalii Lazaro alikuwa kuwa form 5 wakati nikiwa form 3 na ametokea Singida kama Mwigiru lakini alikuwa akilingana na wenzake hivyo sio utamaduni wa watu wa singida bali ni kurudia hivyo tuelewe hilo. Lakini pamoja na kurudia kwake namsifu mwana Ilboru mwenzangu kwa kuwa waziri kila mtu ana njia tofauti lakini awe mkweli tu kuhusu kurudia.
 
Wamemshindwa Mwigulu kwa hoja, sasa wameanza vioja!
Ok tuchukulie kuwa kazaliwa hiyo Jan 7 1975. Basi kwa katiba hii tuliyo nayo hawezi kugombea maana hajatimiza miaka 41 sasa anachofanya ni upuuzi tuu ili kuwavuruga wenzake ndani ya ccm. Sasa anafanya hayo kwa maslahi ya nani?
 
Wadau mm smkubali huyu jamaa bt ukiangalia hvyo vyet kwa umakini hcho cha chuo kmefojiwa na waliofoji wamedanganya na mwgulu kasoma masters ya economics bt apo ni arts only badala ya arts on economcs njia ya mwongo ni fupi naona wagombea urais wanataka kudanganya watanzania kua mwgulu ajafksha miaka 40 baada ya kumshndwa kwa hoja wao wagombea na kna nape
Weweeeeeeeeeeeeeeeeee, hiyo degreee ya wapi? Shule za Kata shida kweli kweli
 
Acheni kuchafuana, umri kitu gani bhana hapa, hili tatizo la majina na umri ni common kwa wananchi wengi hapa nchini hata viongozi pia wa ccm na upinzani.
Nadhani ndilo tatizo kubwa la WTZ, mimi ningekuwa mwigulu,ningeenda kuapa kwa wanasheria na kusafisha jina basi. Tunajua kipindi chetu, hususani iramba, watu walirudia sana, "maripita" huyu alikuwa "ripita". Nakumbuka mtu alisoma shule ile ile akiitwa, Joani Matayo baadaye Wankembeta Shilla.
 
Mwigulu kazaliwa kijijini, wazazi wake wanaguess kwa kuwa hawajasoma, hayo ni makosa madogo. Nape atuambie nani alimwandikia thesis pale Mzumbe?
 
Tatizo la Mwigiru ni kwamba amerudia shule mara nyingi na ndiyo maana anajichanganya kwenye umri wake!. Mimi nimesoma Ilboru kama Mwigiru lakini cha ajabu ni kwamba wakati namaliza form 4 alikuwa hata form 1 hajaingia na inaonekana kwenye vyeti ni mkubwa kuliko mimi kwa miezi sita. Sasa ina maana kamaliza mimi nikiwa form 5 na alikuwa na miaka 19 mwaka 1994 wakati akiingia form 1. Hata kama umetokea kijijini huwezi kuanza form 1 na miaka 19 kama hujarudia shule! huu ni umri wa mtoto wa form 5 au 6 na sio form 1. Waziri wa utalii Lazaro alikuwa kuwa form 5 wakati nikiwa form 3 na ametokea Singida kama Mwigiru lakini alikuwa akilingana na wenzake hivyo sio utamaduni wa watu wa singida bali ni kurudia hivyo tuelewe hilo. Lakini pamoja na kurudia kwake namsifu mwana Ilboru mwenzangu kwa kuwa waziri kila mtu ana njia tofauti lakini awe mkweli tu kuhusu kurudia.
Tatizo watu hatusemi ukweli, zamani hakukuwa na shule za kata jamani kama sasa. Kwanza mtu akishinda enzi za miaka ya 90, duh sherehe nyumbani, but leo unakomea chai tu nyumbani asubuhi. halafu, hiyo miaka, watu wengi walikuwa wanafanyiwa mitihani na ndugu zao au anatoa pesa, linaletwa jamaa kusolve maswali. Mimi niliumia sana wakati nafanya mtihani darasa la saba, kuna njemba zilikuja kufanyia watu hata ambao hawajiwezi. Siku hiyo nilichanganyikiwa kabisa, kuona mtu mzima kakaa kwenye paper la vijana wadogo. But ndo hali halisi hiyo ilikuwa.Akubali tu yaishe
 
Duh....CCM mwaka huu watachinjana na tutasikia mengi,Horace Kolimba upo ulipo baada ya miaka 20 usemi wako ndio unatimia sasa.
 
Tatizo watu hatusemi ukweli, zamani hakukuwa na shule za kata jamani kama sasa. Kwanza mtu akishinda enzi za miaka ya 90, duh sherehe nyumbani, but leo unakomea chai tu nyumbani asubuhi. halafu, hiyo miaka, watu wengi walikuwa wanafanyiwa mitihani na ndugu zao au anatoa pesa, linaletwa jamaa kusolve maswali. Mimi niliumia sana wakati nafanya mtihani darasa la saba, kuna njemba zilikuja kufanyia watu hata ambao hawajiwezi. Siku hiyo nilichanganyikiwa kabisa, kuona mtu mzima kakaa kwenye paper la vijana wadogo. But ndo hali halisi hiyo ilikuwa.Akubali tu yaishe
Lakini kurudia kwa jina la mtu ni kuiba haki ya huyo mtu
 
Wadau mm smkubali huyu jamaa bt ukiangalia hvyo vyet kwa umakini hcho cha chuo kmefojiwa na waliofoji wamedanganya na mwgulu kasoma masters ya economics bt apo ni arts only badala ya arts on economcs njia ya mwongo ni fupi naona wagombea urais wanataka kudanganya watanzania kua mwgulu ajafksha miaka 40 baada ya kumshndwa kwa hoja wao wagombea na kna nape

Leta ushahidi kama wenzio walivyofanya hapa, sio kukata viuno tu hapa na maneno matupu
 
Mwigiru ndio nani? Mwana ilboru gani mwenye hati chafu kama hii? Usiwe ukawa umesoma kwa wamenye halafu unasingizia umesoma ilboru ha ha ha ha ha ha ha.
 
Ila nimefurahishwa na matokeo ya Lameck Madelu aka Mwigulu Nchemba kwa kuwa anaweza Mathematics kama Mimi Siku ya birthday yake iliulizwa hapa kujua kafikisha miaka 40 kwa jina lipi?
 
Back
Top Bottom