Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,598
Mbona hapo kunaonekana kuna tatizo kwenye uchapaji tuu? Hivi vitu vinatokea sana! Nilitegemea MsandoAlberto atuwekee cheti cha kuzaliwa cha Mwingulu tuone huo udanganyifu anao jaribu kuonesha! Hapo kuna makosa ya uchapaji hakuna lingine! Ukienda kwenye website ya bunge utakuta kazaliwa 1975.
Wekeni hapa cheti cha kuzaliwa ndio tuone huo udanganyifu..hapo kunaonekana kuna tatizo kwenye uchapaji!
Wekeni hapa cheti cha kuzaliwa ndio tuone huo udanganyifu..hapo kunaonekana kuna tatizo kwenye uchapaji!
Last edited by a moderator: