Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

yeah Victorie nasikia wanakosea sana vyeti vya watu sio grades sio majina sio miaka ya kuzaliwa/kumaliza n.k. katika hili nadhani cheti chake cha kuzaliwa ndio mwamuzi wa mwisho....ole wake alete kama cha Sitti Mtemvu......

mimi nakwambia hiyo leaving certificate ndiyo sahihi zaidi hata kuliko hicho cheti cha kuzaliwa.
 
Leaving Certificate huwa tunajaza wenyewe manually na kumpa secretary so inawezeka kuna typing error somewhere.
 
tutaendelea kugundua mengi bado anapoteza muda wake bure kuzunguka na chopa angani kuusaka uraisi atahangaika sana hatuwezi kukubali kuendelea kuongozwa na viongozi wana uongo kama huyu ..miss siti alivuliwa umiss kwa kukadanganya umri ni zamu ya JK naye kumfukuza unaibu waziri wa pesa na nafasi ya unaibu katibu wa ccm la sivyo siti arudishwe kwenye umiss wake.

well said mkuu
 
Je hivyo vyeti ni authentic and credible? Maana kusema wabaya wake tayari vinakuwa na mashaka kidogo.
 
Uyu mwigulu anatatizo sio bure anakanusha mambo ya kipuuzi yale ya msingi anapiga kimya kama sio ukichaa ni nn?
 
....Unatumia certificate zenye umri tofauti? Uko serious....

Nope. Nilifanya arrangements isahihishwe kabla ya kuipokea. Mwigulu yumo humu. Natumaini atajitokeza aeleze ukweli..
 
Mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona..tunataka majina yake halisi hapa.inasemekena alipoka nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu kwenda sekondari

Wamo wengi mule.hoja hiyo iliwahi kuibuka mjengoni....lkn ilizimwa fasta.!
 
Kiongozi wa kitaifa unaanzaje kudanganya umma kuhusu umri? Sasa Urais atagombeaje aliyezaliwa 1978? Mwigulu Nchemba njoo hapa useme kilichotokea katika vyeti vyako
Kwani ameishatangaza rasmi kama anagombea Urais?

Mbona mnataka kumlisha maneno?

Kama alijidanganya kugombea ubunge na atatangaza kugombea Urais wakati anafahamu kuna matatizo ambayo hayana majibu kwenye umri atakuwa ni mpumbavu
 
kuna kale kawimbo tulikuwa tunaimba tulipokuwa wadogo: "sitti and mwigulu sitting on a tree, k.i.s.s...."
 
Tusipaniki tu wadau ...je hivyo vyeti viko certified? hasa hiyo leaving certificate ambayo inaweza tengenezwa hapo kariakoo dk sifuri tu nikaleta hapa na kubandika. Tuwe tuna tathmini kwa kina baadhi ya vitu. Kumbuka politcs is a dirty game.

Yeye ndiye atulete hivyo verified kama anavyo
 
Tusipaniki tu wadau ...je hivyo vyeti viko certified? hasa hiyo leaving certificate ambayo inaweza tengenezwa hapo kariakoo dk sifuri tu nikaleta hapa na kubandika. Tuwe tuna tathmini kwa kina baadhi ya vitu. Kumbuka politcs is a dirty game.
Umri uliopo kwenye leaving certificate ndio huo huo uliopo kwenye CV yake kwenye website ya Bunge, issue za kuchakachua umri kwa nchi yetu ni ugonjwa tangu enzi za mkoloni madhara yake ndio haya tunayoona sasa hivi unakuta mtu mzima kachoka alafu bado hajastaafu unaambiwa umri hujafika
 
  • Thanks
Reactions: 999
Huyu jamaa inabidi ajitokeze humu jamvini atueleze nini kimetokea ktk muda wake wa kuzaliwa
 
Kwani ameishatangaza rasmi kama anagombea Urais?

Mbona mnataka kumlisha maneno?

Kama atajidanganya kutangaza kugombea Urais au Ubunge wakati anafahamu kuna matatizo ambayo hayana majibu kwenye umri atakuwa ni mpumbavu

Unachekesha povu analotoa kila kukicha mabango yakimwomba agombe nafikiri sis ni mazuzu..
 
mwigulu anawapeleka puta sana jamani, hazuilikiii oct 2015

Hazuiliki kwenye nini? Au ktk kudanganya umri? Kama siti mtemvu alijiudhulu kwa kashfa ya kudanganya umri basi nayeye awe tayari kwa hilo.
 
Back
Top Bottom