Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Acha wafu wazikane.

CCM wana mfumo mmoja wa utendaji, hata akiondoka Mwigulu atakaekuja atatumia mfumo ule ule.
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
Hiyo yakuwa Rais naomba unirudishie chenji yangu... Big No
 
Siasa ya uchawa inawahitaji waungwana wanaojua kujitoa akili kama wewe mkuu

Hongera na kaza buti asee.
 
Fomu inatolewa moja tu kama 2020, huo ni utamaduni.
Kama kuna watu wana njama za 2025, mbona wakati wenyewe ndio huu sasa!

Hao akina Mwigulu na wengine wote kama wapo, wenye kutafuta huo urais, kuwaondoa wakati huu kwenye nafasi wanazoshikilia ni kama kuwapa fursa nzuri ya kuutafuta urais bila ya mizengwe ya uwaziri.

Lakini ninajiuliza sana kuhusu hawa watu wengi wanaoigiza siku hizi.
Nikimkumbuka Profesa wa Jalalani alivyokuwa akivimba na "uzalendo" nyakati zile, ungedhani wakati huu ndiyo angekuwa moto kwelikweli kuuonyesha 'uzalendo' wake watu wauone, lakini wapi!

Watu wote ndani ya CCM nikama wategemea fadhira tu, hakuna hata mmoja mwenye ubavu wa kusema anaweza kusimamama na watu wampime.

Wote, hata akina Magufuli, walikuwa wa aina hiyo hiyo, hadi walipobahatisha tu kuopolewa ndipo wakawa moto unaounguza hovyo kila sehemu.
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
Mh! Sidhani kamanda wangu!
 
Maelezo yako yanatupeleka kwa scenario ya Zakhia Meghji kusaini jambo bila kusoma.

Something which is very wrong in every aspect.
Asome kwa nini wakati watu wanataka kununua magari, kujenga na kupeleka watoto mashule ya gharama??
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
Haiwezi kufaulu maana waliopanga hakuna hata mmja anaweza thibitisha Mwigulu alipoiba pesa.

Sababu pekee waliyonayo ni kusema malipo yanachelewa Wizara ya Fedha na hivyo kuleta riba but hili nalo sio la Mwigulu Bali mlipaji Mkuu wa Serikali..

Wengi wanaomkomalia Mwigulu ni chuki binafsi ila hawana hoja, nadhani Rais asiwasikilize awapuuze tuu maana so far Mwigulu amefanya vizuri sana kwenye Uchumi kuliko Mawaziri wengi wa Fedha niliowahi kuwashuhudia.
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .
Usiondoke JF
Yaani wamuundie zengwe kisa urais,hii si kweli kwa sababu hana ubavu wa kushindana na mwenyekiti iwapo ameamua kugombea.
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
ccm ni ukoo wa mafisi
Kwa nijuavyo mimi Wizara ya mihela ndiyo yenye jukumu la kuhakiki malipo "controversial" kama yale aliyokuwa akilalamikia Bi Mdashi. In fact, kwa lugha ya kimantiki, bwana madelu ndiye aliyekuwa anaambiwa kwanini hakuona shida ya overpriced invoice na kushauri options badala yake akasema "hiyo ndo invoice hivyo tulipe tu". Kwa msingi huo, bwana madelu huenda ndiye aliyeambiwa apishe. Namkubali sana Madelu kwenye nafasi hiyo ila kama alienda kuomba idhini ya overpriced invoice tajwa, asepe tu. Hatufai. Ana haraka sana ya mafanikio yake binafsi. Tutapata mwingine better kuliko yeye na maisha yatasonga.
IMG-20191216-WA0001.jpg

Credit SAGAI GALGANO
 
Mtakesha, wanajuana hao. Mama analalamika kwangu mimi nalalamika kwake, Mwigulu anamlalamikia mama, CAG anailalamikia serikali, kila mtu analalamika, nchi imekuwa kama kampuni ya fundimaiko haina msimamizi.
Hahahaaa., Wanatamani wangemtwisha hayati hizo lawama
 
Kuna kampuni fulani ya usafiri, nayo ichunguzwe kama pesa ya serikali inatumika.
Taja jina la hiyo kampuni ya usafiri na hapa JF kuna dictionary nyingi zitakusaidia kujua Nani anahusika na hakuna haja ya kwenda BRELA
 
Naona kaka mama anataka mwenyewe kwani tangu mwanzo tulusema kuwa hiyo team ni hatari zaidi kwake maana wote wanautaka urais tena bila kificho
Maybe amejaribu kuwagusa kakuta Wana mizizi mirefu!!

Bt kiukweli hawakutakiwa kuingia new year wakiwa ktk positions zao.

Anyway, utabiri utatimia, ya kwamba housemaid anachukua position ya mke halali.
 
Jf ina watu wagumu mno kuelewa !
mnaompigia debe mwiguli urais ndiyo wagumu or rather wajinga msioielewa nchi hii. Mkiendekeza ujinga wenu mnamwingiza mwigulu katika njia ya Lowasa au maalim Seif. Walikuwa na njaa ya urais tangu wakiwa vijana kama Mwigulu na January makamba walivyo-yaliyowapata mnayajua. Seif is no more, Lowasa anapigania uhai africa ya kusini-urais kwao uligeuka ukawa jinamizi.

endeleeni kujidanganya na kumdanganya mpumbavu mwenzenu
 
Waokoe muda,wamle kichwa haraka kazi iendelee..Wapo wabunge wengi wenye uwezo hawajapewa nafasi.
Wakimaliza hapo wawa ng'oe February na Nepi ili punguza mgao wa umeme na Space X apewe kibali cha kusambaza internet
Hao wabunge hawamuwezi Dr Mwigulu kwani tayari alishawaambia wamwache kwani yeye Ni mchumi na wao wakajadili uganga wa kienyeji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom