Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwingulu siyo mchaga wala muislamu hivyo hatufai Kwenye serikali yetu ya awamu ya sita
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
Mere guessing
 
Mwigulu amesimamia uchumi vizuri wakati wa vita ya Ukraine.
 
Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
Siyo NJAMA ni Mpango
 
Kwamba Over invoicing kuhusu ndege haimo kwenye Ripoti ya cag bt mkubwa kaisema kimkakati kimtego?

Na yule sababu ya jazba kauingia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom