Kama kuna watu wana njama za 2025, mbona wakati wenyewe ndio huu sasa!Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .
Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .
Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .
Usiondoke JF
I concur fully.We are the worst generation ever...
[emoji3][emoji2][emoji39][emoji14]Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .
Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .
Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .
Usiondoke JF
Acha ndotoTaarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .
Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .
Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .
Usiondoke JF
Na we ushapenyezewa ushakua chawa!!!!
Chadema ilikua na vijana wenye akili ila tulishasema njaa ikizidi akili inapotea kabisa, tumbo ndo kiungo kinachomponza Sana binadamu ikifatiwa na sehemu za Siri
Mwigulu tozo huyu alituambia tuhamie Burundi Leo hii mnamkingia kifua???
Duh...!.Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .
Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .
Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .
Usiondoke JF
Kama sasahivi tu ni mwiz wa mali ya umma kiasi hiki hadi kumiliki mabasi yasiyo na idadi basi akiwa pale juu atamiliki kampuni ya ndege ama meli kabisa.