ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,430
- 88,519
Aliwahi kukutajia hao wezi na sie tuwajue?Tunasema tunayoyasema ni kwa vile hatujaambiwa wezi ni akina nani, hapo ndipo nilimpendeaga Magu.
Aliwahi kukutajia hao wezi na sie tuwajue?Tunasema tunayoyasema ni kwa vile hatujaambiwa wezi ni akina nani, hapo ndipo nilimpendeaga Magu.
Siyo kwa watz naowajuaWasipo angalia 2030 ccm itapata mtihani mgumu sana ogopa raia wakichoka kitu furani kwa moyo wao wote...
Swali la msingi je invoice ya malipo nani huwa anatoaHivi kulipa na kutumia Kuna husianaje?
Kwani kama Wizara za kisekta zimeleta invoice za malipo Sasa Waziri wa Fedha asitoe pesa kama nani?
Hiyo ni kazi ya Mwigulu? Hapa wahusika walioongeza bei huko kwenye Wizara zao na kufuja pesa ndio wawajibishwe Sasa unamuwajibisha Waziri wa Fedha Kwa lipi?
Masisiem ndo yalivyo yaani mazuri ni ya mama ila mabaya ni mama anashauriwa vibayaJamani
Tusihadaiwe na hizi drama.
Mama tulishamwambia kitambo kuwa aliowateua walitemwa na mwanaKwenda sasa akidhani anawafuta machozi basi wanahamishia kilio kwake.
Hapo wanamsafisha Mwigulu kwa kumlazimisha ajiuzulu.
Hapo wanamuokoa Rais na mapungufu makubwa ya uendeshaji wa nchi.
Rais anapaswa kuviamini vyombo vya serikali na avipe uhuru vifanyekazi. Lakini hili suala la kuwaamini wanasiasa aliowateua ambao wamejipa kazi ya uchawa badala ya kumsaidia atakuja kustuka kumekucha
💯🤝Ukiwa sirias sana na siasa za nchi hii unazeeka kabla ya umri wako. Mambo ya walamba asali yatamalizwa na walamba asali wenyewe.
LISSU: Ufisadi ule ule, watu wale wale, Chama kile kile.....hakuna jipya, Wala tusitegemee hatuna yote kuchukuliwa.Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.
Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.
Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Hiki Chama ni janga la Taifa, hata haya hawana.Hata John Komba ailiimba kabisa kuwa ....ccm ni ileileeeeeee
Sasa huo ndo uzombi wenyeweMasisiem ndo yalivyo yaani mazuri ni ya mama ila mabaya ni mama anashauriwa vibaya
Watamshambulia madelu hadi kamasi zimtoke.Hiki Chama ni janga la Taifa, hata haya hawana.