kwa mfumo wetu huu wa ukusanyaji hela nchi nzima afu zote zinakuja Hazina (centralized) afu ndiyo tena tunaanza kuzigawanya upya nchi nzima... aisee kumpata Waziri wa fedha aliye msafi ni ndoto.Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
kutawla nchi ya Tanzania ni raha sana, ukitaka kujua urais ni cheo cha moto kamuulize Ruto.Viongozi wa nchi hii ni wezi sana, wanatuchukulia poa sana ila sawa yana mwisho wake haya!
Huyu jamaa asije kuwa anachukua hela zetu anakwenda kuwekeza Singida United, tumchunge.
True.Kamwe Lissu hajawahi kukosea
Huyu jamaa asije kuwa anachukua hela zetu anakwenda kuwekeza Singida United, tumchunge.
Mkuu malalamiko ni kitu cha awali kwa kila jambo kabla halijawa kubwa, usije kwenye maisha yako ukadharau malalamiko.Hizi allegation ni vema mkakusanya evidence kama mnataka ashughulikiwe. Kulalamika humu bila kuwa na ushaidi wowote ni sawa na kuongea na upepo
Mkuu malalamiko ni kitu cha awali kwa kila jambo kabla halijawa kubwa, usije kwenye maisha yako ukadharau malalamiko.
Mimi naona shida yote ipo kww raisi maana ndo aliowawwkaMzaha mzaha mwisho utunga usaha.
Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.
Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Itakuwa naye anahusika,Uzuri Mama kasema wampisheWalio over-invoice Wana nguvu kuliko serikali ndiyo maana waziri ametafuta lugha ya kuwapumbaza watanzania ili waache kuwaongelea hawa watu wenye nguvu
Nafikiri wengi wetu hatukwelewa Lisu!!!Lissu kasema ni yaleyale ni walewale.
Mkuuu wananchi wetu hawajui lolote kuhusu haki zao watu wako busy na mipira na ngonoWasipo angalia 2030 ccm itapata mtihani mgumu sana ogopa raia wakichoka kitu furani kwa moyo wao wote...
Na badoTanzania inabahati mbaya sana ni sawa na ng'ombe wa masikini! Kama ilivyo ada kwamba, ng'ombe wa masikini hazai, akizaa huzaa dume!
Tanzania Imekosa kuingo mhimu sana temu hii, hatuna Waziri wa Mapesa sisi!
Aliyepo ni bora liende, hawezi kumsaidia mama!
Ni sawa na mwanake anayemkataa mwanaume mwenye vision ila anataka mwanaume mwenye television, hajui kwamba huyo mwanaume mwenye vision itatokea amuone kwenye television ya mwaume wake!
Nahisi hata sisi kama nchi, tumewakataa watu wenye taaluma zao tukataka watu wenye mataaluma! Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa aisee
Una akili sana wewe Mungu akubariki sana.Na ndiyo maana mimi mpaka leo hata siku zijazo sitowahi kumkubali Magufuri kwa kitendo cha kuifanyia Chato mipango mikakati ya kimaendeleo kuliko sehemu zingine za nchi.Mwigulu amekanyaga miguu ya Magufuri ndiyo maana kila anayehoji mambo ya maana majibu yake ni kejeli kejeli na mipasho isiyo na tija.timu imepanda daraja ndani ya mwaka mmoja inasajili wa brazil. hela haijulikani imepata wapi? Mmiliki hajulikani halafu hakuna hata anayeuliza yani. Kweli watanzania sisi ni...