Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .

Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .

Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .

Usiondoke JF
Mwigulu ni mwandani sana wa bi tozo, hagusiki
 
Hata bila urais lakini Mwigulu ni hewa, hafai hata kua mbunge
 
Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.

Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.

Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.

Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Naomba kukuuliza, ktk awamu ya 6 ulishawahi kusikia Waziri ametumbuliwa kisa Upigaji???

Walishaambiwa wale usawa wa kamba yao..

Mwigulu hawezi kuondoka.
 
Naomba kukuuliza, ktk awamu ya 6 ulishawahi kusikia Waziri ametumbuliwa kisa Upigaji???

Walishaambiwa wale usawa wa kamba yao..

Mwigulu hawezi kuondoka.
Sasa ile stupid ilikuwa ya nini ?
 
Full drama zinaendelea Bungeni

Watueleze ripoti ya CAG ya 2020/2021 imefanyiwa kazi to what extent?
Nikisikia neno ccm huwa nahisi maumivu makali sana moyoni
 
Nikisikia neno ccm huwa nahisi maumivu makali sana moyoni
CCM kwenye ripoti ya CAG imenunua vyuma chakavu vya milion zaidi ya 59 za HAZINA.

Unadhani kuna waliosalia wenye right thinking kweli?
 
Na kama ndivyo kwanini lawama ziishie kwakwe kwanini sio aliyemchagua na ambaye anachelewa kufanya maamuzi pale ambapo panaonekana panavuja (refer Nishati na Mgao wa Giza)
 
Duh, nawewe umekula mlungula mzee..

Mwigulu akiondoka au akibaki nini kinabadilika?

We are the worst generation ever...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Kama mwenyekiti na kamanda mkuu siku hizi na yeye anamsifia mtawala aliyeko madarakani, baada ya kulambishwa asali! Yeye ni nani mpaka akikwepe hicho kijiko kitamu cha asali?
 
Kwamba kwa mtizamo wako hapo alipo amefanya kazi nzuri na anastahili kuwepo ? Au ingebidi hata asiwepo from the start ?

Kwahio hata akitoka sasa hizi the end haitakuwa ime-justify the means?
 
Game of musical chairs!

Sultani amchinje mbuzi
Mbuzi ayanywe maji
Maji yauzime moto
Moto uichome fimbo
Fimbo imchape mbwa
Mbwa amuume Kalumekenge
Kalumekenge aende shule.

Mama hawa mbuzi uliwaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao lakini ulipaswa kuwafungia kamba fupi.

Sasa itabidi uwachinje.
 
Awachinje tu maana naona wameanza hata kukaribia sana sahani ya mkubwa wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom