Ripoti ya cag ni ushahidi tosha kumfanya achukue collective accountability,Hizi allegation ni vema mkakusanya evidence kama mnataka ashughulikiwe. Kulalamika humu bila kuwa na ushaidi wowote ni sawa na kuongea na upepo
Hiyo yote ni timu ya urais miaka inayokuja hivyo wanpiga sana kutafuta pesa za kuendesha kampeini za uraisHawa mawaziri kama mwigilunchemba na January makamba ni wa kusomewa Albadini au Zaburi 35 na 109
Maana mambo wanayo yafanya kwa kweli ni ya kuumiza roho na kutia uchungu!
Ehh Mwenye Enzi Mungu sikia malala miko yetu na utusaidie maana nchi yetu inaangamia kwa sababu ya ufisadi jamani uwiiiiii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naona kaka mama anataka mwenyewe kwani tangu mwanzo tulusema kuwa hiyo team ni hatari zaidi kwake maana wote wanautaka urais tena bila kifichoAmeshamtaja Rais kuwa anahahamu Kila kitu. Yaani hapo amemkingia kifua Hadi MP.
Tegemea ujinga ujinga tu Ili mada ihamishwe, maana kuhamisha Polepole kwenda CUBA, Ujio wa vp wa USna kuhamisha mawaziri wizara Bado hakujaweza kuhamisha HOJA.
Sisi kazi yetu ni kufichua habari tuDuh, nawewe umekula mlungula mzee..
Mwigulu akiondoka au akibaki nini kinabadilika?
We are the worst generation ever...
Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tu , yaani tayari naonekana namkingia kifua Mwigulu ! kwenye nini ?Na we ushapenyezewa ushakua chawa!!!!
Chadema ilikua na vijana wenye akili ila tulishasema njaa ikizidi akili inapotea kabisa, tumbo ndo kiungo kinachomponza Sana binadamu ikifatiwa na sehemu za Siri
Mwigulu tozo huyu alituambia tuhamie Burundi Leo hii mnamkingia kifua???
Kwa nijuavyo mimi Wizara ya mihela ndiyo yenye jukumu la kuhakiki malipo "controversial" kama yale aliyokuwa akilalamikia Bi Mdashi. In fact, kwa lugha ya kimantiki, bwana madelu ndiye aliyekuwa anaambiwa kwanini hakuona shida ya overpriced invoice na kushauri options badala yake akasema "hiyo ndo invoice hivyo tulipe tu". Kwa msingi huo, bwana madelu huenda ndiye aliyeambiwa apishe. Namkubali sana Madelu kwenye nafasi hiyo ila kama alienda kuomba idhini ya overpriced invoice tajwa, asepe tu. Hatufai. Ana haraka sana ya mafanikio yake binafsi. Tutapata mwingine better kuliko yeye na maisha yatasonga.
Tunataka Katiba mpyaNyie huwa hamjui mnataka nini
Hakuna mwenye uwezo wa kumtoa Mwigulu, Mwigulu ni sehemu ya matrix, …
Pesa kwa ajili ya kampeni ya urais hiyo kwenye overprice invoice mawe yakaandikwe madelu for president 2025Kwa nijuavyo mimi Wizara ya mihela ndiyo yenye jukumu la kuhakiki malipo "controversial" kama yale aliyokuwa akilalamikia Bi Mdashi. In fact, kwa lugha ya kimantiki, bwana madelu ndiye aliyekuwa anaambiwa kwanini hakuona shida ya overpriced invoice na kushauri options badala yake akasema "hiyo ndo invoice hivyo tulipe tu". Kwa msingi huo, bwana madelu huenda ndiye aliyeambiwa apishe. Namkubali sana Madelu kwenye nafasi hiyo ila kama alienda kuomba idhini ya overpriced invoice tajwa, asepe tu. Hatufai. Ana haraka sana ya mafanikio yake binafsi. Tutapata mwingine better kuliko yeye na maisha yatasonga.
Ndio maana ya kuwa na wateule na wasaidizi, Je wadhani rais anauwezo wa kusoma documents zote ndani ya nchi hii?...... Ndio azisahini?, nini maana ya kuwa nanwasidizi waaminifu WATEULE WA RAIS?Maelezo yako yanatupeleka kwa scenario ya Zakhia Meghji kusaini jambo bila kusoma.
Something which is very wrong in every aspect.
eti urais 2025, kwa akili yako unaona mwigulu anafaa kuwa rais wa nchi? bila shaka ni urais wa kijijini kwenu?Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba mipango yote ya kumuondosha Mwigulu kwenye Wizara ya fedha imekamilika , Bali haijafahamika hasa sababu ya njama hizo na wala bado hajafahamika aliyezipanga , bali inafahamika kwamba zinaungwa mkono na ofisi ya Bunge .
Kuna tetesi kwamba Sababu kubwa ya jambo hili la siri inatajwa kuwa ni Urais wa 2025 .
Tutaendelea kuwaletea Taarifa zaidi kwa kadri tunavyozipata hasa baada ya Mwigulu kung'olewa rasmi siku chache zijazo .
Usiondoke J
Mkuu hata wewe unaweza kuleta uzi hapa JF tukachangia , tunaamini uzi huo utakuwa umebalance sana , huna haja ya kusoma nyuzi zangu kwa bahati mbaya , ya nini kuteseka mkuu ? Mbona kuna nyuzi za maprofesa wengi humu si kasome hizo tu !Story zake hazijawahi kubalance hata siku moja. Huwa nasoma kwa bahati mbaya. Sijui ni hizo biashara
Jf ina watu wagumu mno kuelewa !eti urais 2025, kwa akili yako unaona mwigulu anafaa kuwa rais wa nchi au wa kijijini kwenu?