GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.

740605971.jpg


173379819.jpg


-1642188862.jpg
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameendesha Kikao cha kamati ya maadili ya kitaifa kilichoanza jana Jumapili Julai 27, 2025 na kuendelea hadi usiku mnene wa zaidi ya saa 8 usiku kuamkia leo Jumatatu, Julai 28, 2025.

Kikao hicho ni cha kujadili majina ya watiania wa ubunge na uwakilishi ambao kamati kuu chini ya uenyekiti wa Rais Samia leo Jumatatu inakutana kuteua majina matatu hadi matano katika majimbo ili kwenda kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025.
 
Tunakitaka /kukiamuru chama chetu cha mapinduzi kutuletea wabunge safi wanaokuballika kwenye majimbo ya uchaguzi,ambao wana rekodi nzuri na safi za utendaji kazi ndani ya majimbo yao,

-Tuondoleeni wabunge wavivu na wasio na msaada kwa majimbo

-Tuondoleeni wale wote ambao wameshindwa kufanya lolote la kimaendeleo majimboni

-Tuondoleeni wale wote waliotumia vibaya fedha za mfuko wa majimbo (wabinafsi)

-Tuondoleeni Watoro bungeni

-Tuondoleeni vilaza aka meneja wa msanii.

-Tuondoleeni wenye tabia zilizo kinyume kimaadili,walevi,wazinzi,n.k.

---Mnaweza kuongezea....

N.b,kazi iendelee,
October tuna ✔️
 
🛑 CCM KIBOKO MCHUJO WA WAGOMBEA WAFANYIKA HADI USIKU WA MANANE

Kikao cha Kamati ya Maadili ya CCM kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
#kazinautu
 

Attachments

  • 20250728_081211.jpg
    20250728_081211.jpg
    206 KB · Views: 15
  • 20250728_081208.jpg
    20250728_081208.jpg
    221.1 KB · Views: 13
  • 20250728_081204.jpg
    20250728_081204.jpg
    181.1 KB · Views: 12
  • 20250728_081157.jpg
    20250728_081157.jpg
    186.9 KB · Views: 18
Tunakitaka chama chetu cha mapinduzi kutuletea wabunge safi wanaokuballika kwenye majimbo ya uchaguzi,ambao wana rekodi nzuri na safi za utendaji kazi ndani ya majimbo yao,
-Tuondoleeni wabunge wavivu na wasio na msaada kwa majimbo
-Tuondoleeni wale wote ambao wameshindwa kufanya lolote la kimaendeleo majimboni
-Tuondoleeni wale wote waliotumia vibaya fedha za mfuko wa majimbo (wabinafsi)
-Watoro bungeni
-vilaza
-wenye tabia zilizo kinyume kimaadili,walevi,wazinzi,n.k.
-Nnaweza kuongezea...........
N.b,kazi iendelee,
October tuna ✔️
Chama ni wanachama, wao ndio wanatakiwaa wapige kura kuamua nani awe mgombea, sio kakikundi kidogo cha watu.
 
Back
Top Bottom