Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii.
Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata...
Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU
Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika...
Tarehe 30, vijana walioomba nafasi za 'admission officer' wanakwenda kukutana na mtihani wa mchujo ili kuweza kuwapata wachache watakopita hatua ya pili.
Nafasi hizi zina waombaji zaidi ya 3,000, hivyo kama mtu anahitaji na amepania sana kupata fursa hizi ni lazima ajiandae.
Maswali...
Luanda, Angola
Septemba 28, 2025
Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola.
Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
Wapo wanaosema kuwa mama anaandaa watu wake na kutosa watu wa Jiwe aliiyemtengeneza. Hata hivyo, ukiangalia majina ya waliotoswa, unashangaa. Mfano, January Makamba hakuwa mtu wa jiwe. Luhaga Mpina alikuwa mtu wa Jiwe sawa na Mrisho Gambo.
Chawa Daudi Albert Bashite alikuwa mtu wa jiwe japo...
Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Habari zenu wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usaili wa hiyo kada hapo juu anipe muongozo wa aina ya maswali aliyokutana nayo hapo nyuma - Nitashuru sana.
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
Salaam !
Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.
Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!
NRNE 💪 🔥
Karibuni 🙏
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimeipata kwa Micky wa Ghana.
🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍
✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!
🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
2025/26
2026/27
2027/28
📌 Iwapo timu itashinda...
Utaratibu Mpya wa CCM kwa Ubunge 2025: Gharama, Mchujo, na Ukweli Usioambiwa
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuja na utaratibu mpya unaowahusu wagombea wa nafasi ya ubunge – utaratibu ambao wengi wa watia nia hawakuujua mapema, na sasa unazidi kuzua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.