Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

The Fixer,Uislamu umeingia duniani kama sijakosea miaka mia sita hamsini baada ya kristo
Waisrael walikuwa na dini yao ambayo wanaabudu siku ya Jumamosi na ambayo hadi leo wanayo na walikuwa wanatumia mahekalu na wala siyo misikiti.
Na Yesu hakuwa muarabu alitoka kwenye ukoo wa Daudi ambaye ni myahudi.The Fixer usiudanganye umma.Hakuna kitabi kinachoitwa injili ya Barnaba.
Na pia heshimu imani za wenzako japo zinatofauti na hata huo uislamu siyo dini bali imani tu .Usiwe rahisi wa kutoa kauli chafu na kulaumu pale unapojibiwa na kauli hizohizo.Ila tuheshimu wakristu kwa imani yetu na sisi tutawaheshimu kwa imani yenu ili tuweze kuishi kwa amani.Matusi hayajengi amani wala hayaleti suluhisho ,wala halimfanyi mtu kubadili dini yake ati sababu umemtusi bali inamjenga zaidi kwa imani yake mwenyewe na kuidharau imani yako.
 
Haaa haa haaaaah,Kwa akili zako Nabii Issa ( Yesu ) alikuwa Mkristo ? Umesoma Injili ya Barnaba. Endelea kutoka povu tu......Soma vitabu weweee, Achana na avatar kwani avatar ni nini ? Ina faida gani kwako ?
Mkuu wewe umeisoma au umesimuliwa?, mimi nimeisoma.

UKWELI KUHUSU INJILI YA BARNABA.

Kabla ya kueleza ukweli halisi juu ya madai ya waislamu wanayodai eti kuna injili iliyoandikwa na Barnaba na kwamba wakristo wanaificha kwa kuwa inamtabiri muhammad kuwa mtume ni vyema kujua historia fupi yaBarnaba.

Katika Injili ya Yesu alipoanza kuhubiri kwa muda wa miaka mitatu hatumsomi Barnaba mahali popote. Isipokuwa tunamsoma mtu mmoja anayefanana naye kidogo katika jina. Mtu huyo anaitwa Baraba. Mtu huyo alikuwa muovu na muuaji. Alitafutwa na serikali ya kirumi kama Osama, hatimae alikamatwa akatiwa gerezani.
Jina Barnaba katika injili ya Yesu linaanza kuonekana katika kitabu cha matendo ya mitume sura 4:36
Hapo awali alikuwa haitwi Barnaba jina lake halisi aliitwa Yusufu.Jina la Barnaba alipewa na mitume, lilikuwa na maana ya mwana wa faraja, huyu alikuwa mlawi kabila ambalo katika agano la kale Mungu aliliteua kuwa la kikuhani,asili yake alikuwa mtu wa kipro, Tazama mdo 4:36.

Yusufu alikuwa amepewa na Mungu karama ya kufariji, aliwafariji watu ambayo walipondeka mioyo au kujiona wako mbali na familia zao au waliopatwa na adha na shida mbalimbali.
Yusufu aliwafariji hasa wale ambao walikuwa wageni wa yerusalemu waliofika siku ya pentecoste, wale waliookoka mara kanisa lilipoanza.Mitume walitaka wafundishwe kwanza ndipo waondoke. Hawa walihitaji faraja ya maneno na matendo. Katika mdo 4:37 tunasoma maneno haya
"alikuwa na shamba akaliuza akaleta fedha akaweka miguuni pa mitume" Faraja yake ilikuwa na matendo ndipo mitume wakamwita Barnaba yaani mwana wa faraja. Unaposoma Biblia katika mdo 11:19-26 utagundua ni jinsi gani mitume walimuamini, ilipotokea adha kwa ajili ya Stefano wale waliookoka siku ya pentecoste wakatawanyika na hata ikafikia wengine kurudi makwao. Biblia inasema kati ya watu wale walikuwepo watu wa Kipro ambako ndiko anakotoka Barnaba mwana wa faraja.
Watu hawa wakahubiri habari njema za Yesu kristo yaani injili, watu wengine wakaamini mitume wakamtuma Barnaba aende mpaka Antiokia ili akawafariji na kuwatia nguvu katika imani. Katika mdo11:24 Biblia inaeleza sifa ya Barnaba twasoma" maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani, watu wengi wakaongezeka upande wa bwana".

Lakini baadaye akamfuata Sauli kule Tarso ili aje pale antiokia apate kuwafundisha wale ambao wameokoka, maana katika Mathayo 28:19-20 agizo la Yesu linasema "Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu kisha kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi".
Karama ya Barnaba ni kufariji sio kufundisha wala kuandika ndio maana kamleta Paulo mwenye karama ya kufundisha na kuandika. Tunathibitisha hilo katika Rumi 12:6-8 Twasoma"Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali kwa kadri ya neema tulizopewa. Ikiwa unabii tutoe unabii mwenye kufundisha katika kufundisha kwake, mwenye kukirimu kwa moyo mweupe, mwenye kusimamia kwa bidii mwenye kurehemu kwa furaha".

Maneno haya ya Mungu yanaonyesha wazi kuwa karama ya Yusufu yaani Barnaba ni kufariji sio kuandika. Jambo hili ni lazima kila muislamu alijue kwamba Mungu wetu sisi wakristo ametupa nafasi ya kufanya jambo kwa ufanisi kwa uwezo wake. Tunafanya kwa ufanisi kwa sababu hatuvamii wala kubahatisha bali kila jambo yunalifanya kutokana na karama tulizopewa na Mungu. Ndio maana sio wote mitume wa Yesu walioandika injili wala sio wote wale wanafunzi wa Yesu waliopewa karama ya kuandika. Hebu chunguza maneno haya ya Mungu.
"Basi pana tofauti za karama, bali Roho ni Yeye yulu yule. Kisha pana tofauti za kutenda kazi bali Mungu ni yuleyule azitendae kazi zote katika wote. Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima na mwingine neno maarifa apendavyo Roho yeye yule.Mwingine imani katika Roho Yeye yule na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja na mwingine matendo ya miujiza na mwingine unabii na mwingine kupambanua roho na mwingine aina za lugha. Lakini kazi hizi zote huzitenda roho huyo mmoja Yule Yule akimgawia kila mtu peke yake".

Basi yatosha kufahamu kuwa Yusufu yaani Barnaba(mwana wa faraja)hakuwahi kuandika injili katika orodha ya waandishi.

Mimi ninasikitika sana na waislamu kwa nini waseme uongo kwamba kuna injili ya Barnaba ambayo inamtaja mohammad Nabii wa waislamu. Na ni kwa nini wadai eti wakristo wanaificha injili hiyo eti kwa kuwa anatajwa muhammad humo.Gazeti la kisiwa limekuwa gazeti la propaganda likisimamia kuwaeleza waislamu wenzao uongo kuwa injili ya Barnaba inaelezea habari za Nabii muhammad, Mimi hujiuliza hivi ni kwa sababu ipi ya msingi inayowafanya wakristo waifiche hii injili ya barnaba. Je, huyu Muhammad ni nani kwa wakristo hata waogope kuitoa injili ya Barnaba kama ingekuwepo?
Waislamu kwa dhehebu la ahmadia waliandika vitabu vingi vinavyosema Sanda ya Yesu. Yesu kuishi na kuoa kule Kashmir na vinginevyo. Lakini vyote viliopnyesha havina ukweli. Kwa mfano hakuna mtu yeyote aaminiye kwamba Yesu alipofikishwa msalabani wanafunzi wake wakamchukua na kumpeleka Kashmir kule India, na akaoa huko na kuzaa watoto wawili.
Huu ulikuwa ni uongo wa juu sana wa waislamu wa ahmadia. Sasa waislamu wasuni wameshupalia uongo wa injili ya Barnaba kana kwamba jambo hilo ni kweli. Basi nivyema kumtambua mwandishi aliyetunga injili hii inayodaiwa imetungwa na Yusuf(Barnaba).
 
Imani ni kitu complicated sana,kutokana na kauli hii walaji wa kitimoto wangalikua wameshakufa tayari kwakula vitu vichafu!!!!
 
Nashangaa watu kung'ang'ania kuchinja badala ya kujadili mambo ya maana, hivi udini unawasaidia nini? Mimi sioni tatizo, mkichinja sisi tunakula lakini hakuna sehemu yoyote ambayo Mungu amehalalisha muislamu au mkristo kuchinja. Kama naandaa kitoweo kwa ajili yangu hakuna mtu wa kuniwekea masharti eti ooh! lazima achinje muislamu kwa kuwa ametajwa katika vitabu kuwa akichinja ni halali. Tuache fikra mgando ndugu zangu

Na hoja inayoongelewa hapa si ya kuchinja wewe kwa ajili ya kitoweo chako.... Elewa!!!! Wewe ndo unamawazo mgando. Kilicholeta mzozo ni kwa mtu asiye na udhu kuchinja kisha na nyama hiyo kuuzwa katika public. Kuna uhakika gani nyama hiyo ikanunuliwa na wakristo tu? Kusema kuwa hata kama unachinja kitoweo kwa ajili yako na familia yako hakuna atakayepiga kelele... Hata kama utaamua kula kinyesi chako mwenyewe hakuna atakayeshughulika na wewe maana kama unafanya bila kuonekana na mtu. Lakini ukikamatwa unakula kishesi chako mwenyewe hadharani unakamatwa!!!! Ni kosa....
Ninyi wakristo shida yenu hampendi kuona waislamu wanakuwa juu yenu, maana mwislamu akichinja DUNIA nzima na madhehebu yote wanakula lakini madhehebu yakichinja mwislamu hawezi kula maana madhehebu mengine yakichinja haihesabiki kama ni kuchinja bali ni kuua. Na ukila nyama yake unakuwa umekula najsi. Kwa hiyo hampendi na mnaona uchungu. Maandiko yapo mengi sana yanayothibitisha hilo ila kwa kuwa ukristo wa sasa unarahisisha mambo hata ukipewa maandiko hayo utayakataa.
 
Imani ni kitu complicated sana,kutokana na kauli hii walaji wa kitimoto wangalikua wameshakufa tayari kwakula vitu vichafu!!!!

Na hapa tunaongelea imani na si kufikirika unakotaka kuleta. Kwani kitu najsi lazima kiwe kina bakteria? Wewe vipi bwana. mungu wenu wa wakristo mbona anajua najsi ni kitu gani mbona ninyi mnajifanya hamuijui? Tamaa ya kulakula mizoga ndo inawapelekea mpaka mnakuwa kama hamna akili. Mnapelekwapelekwa tu na wachungaji nanyi mnakwenda tu. Someni biblia ninyi. Kwanza mkristo anayesoma biblia vizuri hawezi kula mzoga ama nguruwe. Ninyi wakristo mnaotetea kula mizoga ni wale wakristo viraka. Wamechanganyiwa elimu ya biblia na ya dunia, ila pale penye ukweli kwenye biblia wakarukishwa na kuambia hilo ni fumbo la imani....Na mtadanganywa sana!!!!!!
 
Mkuu wewe umeisoma au umesimuliwa?, mimi nimeisoma.

UKWELI KUHUSU INJILI YA BARNABA.

Kabla ya kueleza ukweli halisi juu ya madai ya waislamu wanayodai eti kuna injili iliyoandikwa na Barnaba na kwamba wakristo wanaificha kwa kuwa inamtabiri muhammad kuwa mtume ni vyema kujua historia fupi yaBarnaba.

Katika Injili ya Yesu alipoanza kuhubiri kwa muda wa miaka mitatu hatumsomi Barnaba mahali popote. Isipokuwa tunamsoma mtu mmoja anayefanana naye kidogo katika jina. Mtu huyo anaitwa Baraba. Mtu huyo alikuwa muovu na muuaji. Alitafutwa na serikali ya kirumi kama Osama, hatimae alikamatwa akatiwa gerezani.
Jina Barnaba katika injili ya Yesu linaanza kuonekana katika kitabu cha matendo ya mitume sura 4:36
Hapo awali alikuwa haitwi Barnaba jina lake halisi aliitwa Yusufu.Jina la Barnaba alipewa na mitume, lilikuwa na maana ya mwana wa faraja, huyu alikuwa mlawi kabila ambalo katika agano la kale Mungu aliliteua kuwa la kikuhani,asili yake alikuwa mtu wa kipro, Tazama mdo 4:36.

Yusufu alikuwa amepewa na Mungu karama ya kufariji, aliwafariji watu ambayo walipondeka mioyo au kujiona wako mbali na familia zao au waliopatwa na adha na shida mbalimbali.
Yusufu aliwafariji hasa wale ambao walikuwa wageni wa yerusalemu waliofika siku ya pentecoste, wale waliookoka mara kanisa lilipoanza.Mitume walitaka wafundishwe kwanza ndipo waondoke. Hawa walihitaji faraja ya maneno na matendo. Katika mdo 4:37 tunasoma maneno haya
"alikuwa na shamba akaliuza akaleta fedha akaweka miguuni pa mitume" Faraja yake ilikuwa na matendo ndipo mitume wakamwita Barnaba yaani mwana wa faraja. Unaposoma Biblia katika mdo 11:19-26 utagundua ni jinsi gani mitume walimuamini, ilipotokea adha kwa ajili ya Stefano wale waliookoka siku ya pentecoste wakatawanyika na hata ikafikia wengine kurudi makwao. Biblia inasema kati ya watu wale walikuwepo watu wa Kipro ambako ndiko anakotoka Barnaba mwana wa faraja.
Watu hawa wakahubiri habari njema za Yesu kristo yaani injili, watu wengine wakaamini mitume wakamtuma Barnaba aende mpaka Antiokia ili akawafariji na kuwatia nguvu katika imani. Katika mdo11:24 Biblia inaeleza sifa ya Barnaba twasoma" maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani, watu wengi wakaongezeka upande wa bwana".

Lakini baadaye akamfuata Sauli kule Tarso ili aje pale antiokia apate kuwafundisha wale ambao wameokoka, maana katika Mathayo 28:19-20 agizo la Yesu linasema "Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu kisha kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi".
Karama ya Barnaba ni kufariji sio kufundisha wala kuandika ndio maana kamleta Paulo mwenye karama ya kufundisha na kuandika. Tunathibitisha hilo katika Rumi 12:6-8 Twasoma"Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali kwa kadri ya neema tulizopewa. Ikiwa unabii tutoe unabii mwenye kufundisha katika kufundisha kwake, mwenye kukirimu kwa moyo mweupe, mwenye kusimamia kwa bidii mwenye kurehemu kwa furaha".

Maneno haya ya Mungu yanaonyesha wazi kuwa karama ya Yusufu yaani Barnaba ni kufariji sio kuandika. Jambo hili ni lazima kila muislamu alijue kwamba Mungu wetu sisi wakristo ametupa nafasi ya kufanya jambo kwa ufanisi kwa uwezo wake. Tunafanya kwa ufanisi kwa sababu hatuvamii wala kubahatisha bali kila jambo yunalifanya kutokana na karama tulizopewa na Mungu. Ndio maana sio wote mitume wa Yesu walioandika injili wala sio wote wale wanafunzi wa Yesu waliopewa karama ya kuandika. Hebu chunguza maneno haya ya Mungu.
"Basi pana tofauti za karama, bali Roho ni Yeye yulu yule. Kisha pana tofauti za kutenda kazi bali Mungu ni yuleyule azitendae kazi zote katika wote. Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima na mwingine neno maarifa apendavyo Roho yeye yule.Mwingine imani katika Roho Yeye yule na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja na mwingine matendo ya miujiza na mwingine unabii na mwingine kupambanua roho na mwingine aina za lugha. Lakini kazi hizi zote huzitenda roho huyo mmoja Yule Yule akimgawia kila mtu peke yake".

Basi yatosha kufahamu kuwa Yusufu yaani Barnaba(mwana wa faraja)hakuwahi kuandika injili katika orodha ya waandishi.

Mimi ninasikitika sana na waislamu kwa nini waseme uongo kwamba kuna injili ya Barnaba ambayo inamtaja mohammad Nabii wa waislamu. Na ni kwa nini wadai eti wakristo wanaificha injili hiyo eti kwa kuwa anatajwa muhammad humo.Gazeti la kisiwa limekuwa gazeti la propaganda likisimamia kuwaeleza waislamu wenzao uongo kuwa injili ya Barnaba inaelezea habari za Nabii muhammad, Mimi hujiuliza hivi ni kwa sababu ipi ya msingi inayowafanya wakristo waifiche hii injili ya barnaba. Je, huyu Muhammad ni nani kwa wakristo hata waogope kuitoa injili ya Barnaba kama ingekuwepo?
Waislamu kwa dhehebu la ahmadia waliandika vitabu vingi vinavyosema Sanda ya Yesu. Yesu kuishi na kuoa kule Kashmir na vinginevyo. Lakini vyote viliopnyesha havina ukweli. Kwa mfano hakuna mtu yeyote aaminiye kwamba Yesu alipofikishwa msalabani wanafunzi wake wakamchukua na kumpeleka Kashmir kule India, na akaoa huko na kuzaa watoto wawili.
Huu ulikuwa ni uongo wa juu sana wa waislamu wa ahmadia. Sasa waislamu wasuni wameshupalia uongo wa injili ya Barnaba kana kwamba jambo hilo ni kweli. Basi nivyema kumtambua mwandishi aliyetunga injili hii inayodaiwa imetungwa na Yusuf(Barnaba).

Aliyekwambia Waahmadia ni waislamu ni nani? Hoja yako dhaifu.........
 
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia!
Nadhani wewe tatizo hujalijua ila umekurupuka, wakristo always wana hofu ya Mungu na sio watu wa kufanya malipizi, ndio maana pamoja na yote wanayotendewa bado wamebaki kimya, tatizo sasa uhuru wa wakristo unaingiliwa, yaani wewe kuchinja mbuzi wako kwaajili ya manufaa ya familia yako wenzako wanakuja kukuua, kisa hajachinja muislamu, TUNAKWENDA WAPI??
 
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia!

Naomba usome waraka wa kwanza wa mtume paulo kwa Wakorintho 10:27-29. Na nukuu, "27. Na mtu aisiyeamini (katika Kristo) akiwaalika, nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuulizauliza, kwa ajili ya dhamiri. 28 Lakini mtu akiwaambia, "Kitu hiki kimetolewa kiwe sadaka", msile kwa ajili yake yeye aliyeonyesha na kwa ajili ya dhamiri. 29 Nasema dhamiri, lakini si yako, bali ya yule mwingine. Maana kwa nini uhuru wangu uhukumiwe na dhamiri ya mtu mwingine?

Kama kuchinja kwa waislam ni sehemu ya Ibada yao, basi kula nyama iliyochinjwa ni sawa na kushiriki ibada ya Kumwabudu/kuwaabudu mungu/miungu wao/yao.
 
Kweli nazidi kuamini biblia inavyosema kuwa mambo ya rohoni hutafsiriwa kwa jinsi ya rohoni, wengine hapa wanatatoka mate kwa kujifanya wamekariri biblia. Kwa taarifa yako unaweza kariri kama utakavyo lakini kuelewa hilo ni swala jingine. Yesu hakuwa mkristo ni sawa kabisa ila yeye mwenyewe ni KRISTO. Hivyo wanaomfuta wanaitwa wakristo, ndio maana kuna wayahudi sio wa Kristo. Unatakiwa kuelewa sio kukariri. Ugomvi wangu na serikali ni mmoja tu, tangu lini serikali hii imegeuka kuwa ya kiislamu? Pia nadhani sasa yafaa kuacha unafiki serikali itutangazie kuwa nchi hii inaongozwa kwa shari, ili wale wasio wa sharia wajue wanaanzia wapi. Kuliko mara hivi mara vile.
 
Kwani jamani nchi nyingine hali ikoje tunaweza chukua best practice kwa wenzetu ulaya na Africa otherwise nchi haita tawalika!
 
Haaa haa haaaaah,Kwa akili zako Nabii Issa ( Yesu ) alikuwa Mkristo ? Umesoma Injili ya Barnaba. Endelea kutoka povu tu......Soma vitabu weweee, Achana na avatar kwani avatar ni nini ? Ina faida gani kwako ?
Wakuu, kwenye post yangu pale juu, nimeelezea vizuri kuhusu hiki kinachoitwa injili ya Barnaba. Naomba nimalizie.

Kama tuliyoona hapo juu kuwa BARNABA hakuandika injili ni vyema basi kumtambua mwandishi aliyetunga injili hii inayodaiwa imetungwa na Yusufu(Barnaba).

Mtu mmoja aitwae Mustafa mwanzoni alikuwa mkristo wa madhehebu YA Roman Catholic. Hapo mwanzo kabla ya kuwa muislamu alikuwa akiitwa Framarino na aliishi Roma kwa muda kama mtawa. Framarino baada yakuondoka katika ukristo na kuwa muislamu alibadili jina na kuitwa Mustafa. Mustafa kwa utashi wake aliamua kuandika kitabu hicho.
Na baada ya kuandika alidai kuwa amekipata katika maktaba ya papa huko Roma wakati akiwa mkristo.Kitabu hicho cha Mustafa kimetafsiriwa katika ligha mbalimbali. Tafsiri ya kiswahili inapatikana inapatikana hata hapa kwetu Tanzania katika maduka ya vitabu vya kiislamu.

Utagunduaje kuwa kitabu hicho ni cha uongo?. Usomapo kitabu hicho kinachodaiwa kuwa ndio injili sahihi iliyoandikwa na Barnaba, utagundua kuwa maneno yaliyomo humo ni uongo kabisa.
Lakini kwa sababu Mustafa anaongea mambo yanayohusu ukristo na waislamu wako tayari kupokea uongo wa aina yeyote unaokebehi ukristo au kuusema vibaya, akitokea mtu anaeusifu Uislamu kwao haijalishi kama mtu huyo yukoje na anatokea wapi.

Kwa mfano, Mustafa anaandika maneno haya katika kitabu chake hicho sura ya 54 kinachodaiwa kuwa ni injli ya Barnaba, Twasoma"Baada ya ishara hizi kupita kutakuwa na giza kuukatika dunia nzima kwa muda wa miaka arobaini, Mungu pekee ndie atakayeishi na utukufu na heshima viwe kwake daima. Na baada ya miaka hiyo kupita ndipo Mungu atamfufua Muhammad ambaye atamulika kama jua".
Kwa muislamu yeyote anayesoma na anayechunguza kitabu chake cha Quran atagundua kuwa injili hii ya Barnaba iliyoandikwa na mustafa inapingana na aya za Quran. kwa mfano katika sura 43:61-62 surat zukhuruf. Katika sura hii utagundua kuwa Quran inaonyesha kwamba hakuna mtu yeyote aliyechanzo cha ufunuo wa watu wote waliokufa isipokuwa Yesu kristo tu. Kwa sababu mitume wote wamekufa pamoja na Muhammad bali waislamu wanaamini kuwa Yesu hakufa. Sasa haiwezekani yule ambaye amekufa na wenzake wamekufa awaamshe wenzake waliokufa kama yeye. Muhammad amekufa amelala mpaka leo kaburini anangojea parapanda ilie ili aamke apate kupewa ijara yake. Na mwenye kutoa ijara ni Yesu kwa hiyo Muhammad anasubiri hukumu kutoka kwa Yesu kristo.
Mwenyewe Muhammad alijua hilo ndio maana katika sahihi bukhar vol vi anasema" Ambaye moyo wangu uko mikononi mwake Issa mwana wa Mariam atawajia ninyi waislamu si kama nabii bali kama mfalme".

Haya yote yanatuthibitishia kuwa kitabu cha mustafa kinachodaiwa kuwa injili sahihi ya Barnaba kinapingana kabisa na aya za Quran na hadithi za mtume muhammad.
Kaika sura ya 215 uk 11 ya kitabu hicho inasema"Na Mungu alipoona hatari ya kukamatwa mtumishi wake yesu akaamuru malaika Gabriel kumuondoa Yesu hapa duniani. Nao wakamnyakua mpaka uwingu wa tatu wakiongozana na jeshi kubwa la malaika waliokuwa wakimsifu Mungu. Yuda akaingia kwa hamaki pale chumbani Yesu alipokuwa ameshanyakuliwa, na ndipo Mungu wa ajabu alipofanya ya ajabu kwa maana sura na sauti ya yuda ikabadilishwa ikawa kama Yesu vilevile hata tukamdhania kama Yesu, nao wakamkamata".
Sasa wale waislamu wanaoukali uongo wa Mustafa wangejiuliza , je, ni wapi katika Quran inasema yule aliyesulubiwa ni Yuda na wala si Yesu?
Kila mtu ni lazima atambue kuwa huu ni uwongo iliodhahili kabisa ambao unapaswa kila mtu kuupinga na kumuona Mustafa hastahili kabisa katika mpabngo wa kiroho na ni Mwana wa Ibilisi.
Hiyo ndio habari kwa kifupi inayohusu kile kinachoitwa injili ya Barnaba. Niwatakie jumapili njema.
 
Na hapa tunaongelea imani na si kufikirika unakotaka kuleta. Kwani kitu najsi lazima kiwe kina bakteria? Wewe vipi bwana. mungu wenu wa wakristo mbona anajua najsi ni kitu gani mbona ninyi mnajifanya hamuijui? Tamaa ya kulakula mizoga ndo inawapelekea mpaka mnakuwa kama hamna akili. Mnapelekwapelekwa tu na wachungaji nanyi mnakwenda tu. Someni biblia ninyi. Kwanza mkristo anayesoma biblia vizuri hawezi kula mzoga ama nguruwe. Ninyi wakristo mnaotetea kula mizoga ni wale wakristo viraka. Wamechanganyiwa elimu ya biblia na ya dunia, ila pale penye ukweli kwenye biblia wakarukishwa na kuambia hilo ni fumbo la imani....Na mtadanganywa sana!!!!!!
punguza jazba malyenge ni vitu vya kawaida sana hivi!"common sense is common but is not common to every one"wewe kinaumiza nini hao watu kula kiti moto?????it seems that you are ignorant about bible and its better to ask those who are familiar with it!!!!!wewe una akili kama binadamu wengine kwahiyo sio kila unachojiskia wewe basi na mwenzako ajisikie vivyo hivyo!!!!!!! jiulize hayo makatazo yote yaliyopo kwenye biblia yalitokana na nini??kwa mfano kutoa sadaka kwa kuchinja wanyama kama ng'ombe, katika jamii yetu tunaweza tukachinja kuku kwa sababu ndio wanyama waliokua wengi katika jamii yetu ya tanzania........kwa jinsi hii basi hayo makatazo ya wanyama yalitegemea na mazingira!!!!!!try to understand the content and the context plus the circumctances........
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?[/QU watatuchinjia pamoja na kitimoto wetu? Kuku wangu home mbona nawapiga kisu mwenyewe na rafiki zangu waislamu wana gonga kama kawa
 
---- ww nipo andiko linalosema waislam wachinje katka biblia..?, tmepewa mamlaka ya kuvila kuvitawalaaaa
 
Naunga mkono waiskamu kuchinja mifugo pia na bucha za nguruwe waje kuchinja pia maana ndicho kilicho waleta duniani,umbumbumbu bwana!kazi kwelikweli
 
Injili haijaandikwa mahala popooote kuwa Noah (nguruwe) achinjwe / aliwe ILA imekataza kabisa ulaji na hata kugusa nyama yake. Sasa sijui ninyi mnakula kwa maelekezo ya nani ?Katika nyama ya noah kuna hasara nyingi kuliko faida . Kuna aina ya minyoo ambao hawafi na ukila nyama ile hupanda mpaka kwenye ubongo , huathiri mfumo wa damu na kufanya uharibifu mkubwa sanaa wa mwili
Unakuta mtu pombe anakunywa, sigara anavuta tena hadi ile kubwa, anafanya mapenzi bila kondomu leo hii anazungumzia minyoo kwenye mbuzi katoliki, ajabu sana! Kuchinja sioni kama ni dili kubwa wala hakubadili chochote nyama inabaki kuwa ile ile!
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Acha wenge we kiatu! Eti vitabu vyote vimeagiza MUISLAM achinje! Mi mbona cjawahi kuliona neno "Muislam" kwenye bible linalowapa haki waislam kuchinja.
Acha kupotosha watu, maandiko yanasema yeyote anaemwamini "MUNGU" ndo ana uwezo wa kumwaga damu ya mnyama kwa ajili ya kitoweo. Hujui hata uislam ulianza lini! We hilo agano la kale ulosoma ni kale ipi?? Sasa huo ulimbukeni wako kawalishe wala ubwabwa wenzio!
Chinjeni mle wenyewe, si mmepewa kibali na Mungu? Nyama yenyewe mnakula idd!
 
Back
Top Bottom