Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Nani anachinja kule Vatican
You got me wrong. Nilichosema ni kuwa ni vyema kuangalia undani wa tatizo kama siku zote waislam wamekuwa wakichinja kwa nini leo imekuwa hivyo? bila kuliangalia hilo ni vigumu kupata suluhu tutatuliza tu, na litaibuka baadaye kwa kasi kubwa kuliko ya leo. Besides, nyama ikiwa buchani haina alama ya kuonyeshwa imechinjwa na nani, kwa hiyo kama ni kula mizogo tumeishakula sana tu bila kujua na hatukupata madhara.
Baambie baelezee maana mwanangu mimi ni kilaza wa biblia kinomaMi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
njoo unichinjie mbuzi katoliki kwani nyie mmekazwa kula, sio kumchinja uyo mkuu wa meza
huu mjadala hautaisha, kama pinda na wasirra wanapenda ibada ya waislam kuchinja basi hawana budi kusilimu.
Kama kuchinja ni ibada na haiendani na kutafuta kitoweo kama ujira, basi waachwe waislam ndio wachinje na wanyama wote wachinjiwe machinjioni, ikitia ndani vitimoto, vimbwa, nyani na wengine.
Biashara zote zinazohusu mifugo wapewe waislam. Uwindani haramu wanyama pori wafanye waislam ili hata vimoro viwe vilichinjwa kuhusiana na ibada ya kuchinja.
Vijengwe vyuo vya uchinjaji na wachinjaji wote wawe na vibali.
Umbumbumbu wa wakristo ndo upo hapo..... Kwani Mungu wetu aliposema tuchinje sisi waislamu alisema ni kwa wanyama wote au alisema na kwa wanyama tuliohalalishiwa tu? mijitu mingine huwa inakurupuka hata bila kufanya utafiti. Uhovyohovyo huo ndo maana waislamu tunalalamika hatutendewi haki. Maana kama mtu anadhihaki kuchinja wakati neno kuchinja lina maana pevu kushinda uelewa wake ni yumkini kwamba akipewa kazi ya kutoa maamuzi hataweza kutenda haki. Watu wanasema Ibrahim alichinja katika biblia bila kujua kuwa alichinja kiislamu!!!! Na alikuwa muislamu!!!! Toa andiko kipindi cha agano jipya nani alichinja na kwa kutaja jina la mungu gani ili uhalalishe kutulisha mizoga!!!! Maana mkristo akichinja na nyama yake yote huwa ni nyamafu (Mzoga, kibudu sawa nba kinyesi tu).
Wachaa weee, Yehova aliacha mwanae wa pekee ( mungu mwana ) atundikwe msalabani na watu aliowaumba yeye mwenyewe ? Hakuna mahali kwenye Injili ambako pameandikwa Yesu ni kristo wala Mkristo utafungua mpaka unyeee
Ushuzi mtupuu
Ahaa!, kumbe alienda kutoa maamuzi kwa mujibu wa kidini, mwanzoni nilijua kiserikali.Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
ngoja nikae mbali na wewe unakonipeleka sio.!Ndiyo..... Wanapewa haki ya kusikilizwa. na ndio maana Waislamu tukichinja tunawaombea kwa Allah kwamba tunawachinja kama yeye alivyoagiza. Je ninyi wakristo huwa mnataja jina la Mungu gani mnapowachinja? Maana mnayo miungu wengi eti wote hao ni mmoja. Utata!!!!
Na wewe umeisoma ya Yohana?Haaa haa haaaaah,Kwa akili zako Nabii Issa ( Yesu ) alikuwa Mkristo ? Umesoma Injili ya Barnaba. Endelea kutoka povu tu......Soma vitabu weweee, Achana na avatar kwani avatar ni nini ? Ina faida gani kwako ?
Jibu hoja yake kwanza kisha shusha yako, vinginevyo utatuachia uharo tuKati ya vitabu hivyo ni kipi kimeagiza Waislamu wachinje kwa niaba ya serikali.
Jibu hoja yake kwanza kisha shusha yako, vinginevyo utatuachia uharo tu