Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Nakupa muda unaohitaji, ila urejee hapa na majibu. Hata kama ni mwaka mzima baadae.
Shared butcheries waislamu waliachiwa wachinje (ni uungwana na hiari tu wa Wakristo). Sasa tumeambiwa SI HIARI TENA NI LAZIMA. Na kumbuka Buseresere nyama iliyochinjwa na Mkristo HAIKUPELEKWA kwenye shared butcheries, bali ILIKUWA INAUZWA KANISANI huku kukiwa na maelezo ya waziwazi kuwa nyama hiyo kachinja Mkristo. Kwa nini kuwe na ugomvi? Kwani waislamu walilazimishwa kununua hiyo nyama?
Mkuu mie nakumbuka kwetu kijijini enzi za mwalimu, baba na wenzie wakristo walikuwa akichinja nyama ikiwa msibana, harusini au kwa kuuza....na kulikuwa na waislamu halikuwa kuwa jambo la kutugombanisha!!...
Kina pinda tu hawana akili....wanayajua haya lakini wanaogopa kusema ukweli....