Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

mimi nakula KITIMOTO ni jana tu (jmosi) tulifika na jamaa zangu wawili tukala kilo3, swala la nani achinje halinihusu mbuzi wakisasa mimi nmeacha kula, ng'ombe sipendelei, kuku najichinjia mwenyewe. Jamani kuna mambo mengi ya kuzungumzia kuhusu mustakabal wa nchi yetu hili la kuchinja lisitupoteze muda wandugu. UDINI mbaya sana kikinuka hakuna atakaye salimika...
 
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

Zaidi soma -> Pinda ‘aelemewa' mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
Pambaf kama hana hoja au uzee umemzidi aachie ngazi. Maamuzi gani? wamchinjie yeye na familia yake!! msimamo hakuna kula nyama ya bucha la waislamu. unaniamrisha nile nini peleka siasa za mabwepande mbali!! Kwanza amezungumzia vipi kuhusu majambazi waliovamia sehemu ya ibada na kuvunja bucha na kuua mchungaji GO TO HELL PINDA GO TO HELL MABWEPANDE!!
 
mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha mungu kati ya torati, zaburi, injili na quran ambacho kimeandika mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa ukristo ni dini ?

wambie hao wapate kujua ukifunia bibilia mwazo hadi mwisho kamwe hauwez ukakuta inshu ya kuchinja in short kile kitabu hakijakamilika mambo yapo ktk al fulkan kila ki2 unakikuta mule
 
Mambo ya ajabu kabisa yanatokea humu kwenye jukwaa. Hivi wenzetu hamuwezi kutangaza uzuri wa dini yenu hadi mkashifu Ukristo? Serikali imetoa uhuru wa mambo hayo. Wewe tangaza uzuri wa mungu wako na Wakristo nao watangaze UKUU WA MUNGU WAO. Malumbano yanatoka wapi? Yaani huyo mungu wenu mbona anawafanya mtumie nguvu nyingi kama yule mungu wa baali? Jiangalieni na mtafakari. YATOSHA.
 
Tatizo unajadli vitabu ucvyoamini achen kujisumbua Biblia c gazeti wala msahafu na ucmlazimishe m2 kuamin kile unachotaka mbona Mungu hana cfa hizo?

acha kuparamia mambo, unajua kitabu nianachoamini au kutokuamini ni kipi?.
wacha kieleele
 
mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha mungu kati ya torati, zaburi, injili na quran ambacho kimeandika mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa ukristo ni dini ?
utakuwa unafir........kama sio kuliwa tigo.
 
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini

mazoea ni yeyote mwenye kitoeo chake ana uhuru wa kuchinja tusipotoshe maana.
 
Hoja za kiislam zinachekesha! YESU alifuata dini kiyahudi? History hawaijui! Islam wa kwanza ni mudi! Wa tatu bi hadija!
 
Kwahiyo tukitaka kichinja kitimoto tutafute muislam maana na wenyewe wanakula kijanja janja maana mdudu mtamu sana yule!

Ni bora tukawa na mabucha ya waislam na wakristo hili ndilo suluhisho la kudumu na inawezekana, hata ukienda supermarket utakuta nyama zimewekwa sign HALAL basi hiyo ni halali kwa waislam, mimi sitaki kula nyama ya mnyama aliechijwa na kuelekezewa KIBLA tena akisemewa maneno nisiyo jua maana yake, hii haitakiwe.
 
Sie walaji wa samaki peke yake tunawaangalia tu mnavyotoana jasho.

Tunawaombea mfikiane makubaliano kwa amani.

Mkimaliza tutoane jasho kwenye maendeleo ya nchi manake naona maswala mengine hayana msingi.

Kuhusu swala la nani kachinja nyama aachiwe mlaji.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

wewe unaijua Biblia Basi? au unaropoka tu! Anyway wakristo hatuna kipingamizi na kuchinja maana Kufika mbinguni hakuhitaji uchinje vipi! Ila Ni sali bila kukoma! Nani aliyekuambia kuwa uislamu ni dini? Biblia haitambui ni huko kwako tu ndo unajua,
Mwamini tu Mungu wako usiingilie imani usojua!
 
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia!
Biblia yangu inanikataza nisile vitu vilichinjwa kwa ibada ya sanamu. Wenzetu wanachinja kama sehemu ya ibada yao, ambayo kwangu ni ibada ya sanamu, kwa kuwa kila ibada isiyokiri kuwa YESU ni BWANA, ni ibada ya sanamu. Hakika wenzetu hawaamini katika roho na kweli, hivyo ibada yao ni ibada ya sanamu, na HAKIKA, HAWATAMWONA MUNGU. Katika hili, Serikali, itumie busara, isiingilie imani zetu, kwa kupendelea imani ya upande mmoja. "HII NI HATARI" Wenzetu watutake radhi kwa kutamka kuwa kuchinja ni sehemu ya ibada yao, na katika kuchinja, wasitoze ushuru ambao mimi mkristo nachangia ujenzi wa nyumba zao za kuabudia na kueneza dini isiyonihusu.
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Maandishi yako yanatia kinyaa thread ya mwenzio, hebu toa ushahidi kwamba ALLAH ni MUNGU...Maangizo ya Allah sio Maagizo ya Mungu,lakini kwa kuwa mkp possesed mnaishi mkiamini kuwa Allah ni Mungu,siku mkifunguka na kugundua Allah ni nani sijui hata JF mtajitoa,ningekueleza Allah ni nani lakini sipo tayari kwa ban kipindi hiki,unajua Allah anatetewa kwa mabomu,bunduki na mamoderator JF ili aendelee kuenjoy japo hadhi ya mungu. Kama kichwa chako kinafanyakazi vema utakuwa umeelewa nani unaye Mwabudu kama sio Mungu ni...
 
Ni uchinjaji gani anaozungumzia Pinda? Matatizo ya viongozi wetu ni kuzungumzia mambo juu juu na kuacha maswali mengi yasiyo na majibu. Kuna kuchinja kwa ajili ya biashara na kuna kuchinja kwa ajili ya kupata kitoweo chafamilia au shughuli binafsi. Kitoweo cha nyumbani kwangu au shughuli binafsi ninahitaji kuchinjiwa na muislamu? Taifa hili kila mtu ana uhuru na haki ya kuabu chochote au kutoabudu kabisa. Ulegevu na usingizi wa pono wa viongozi wetu kuanzia ngazi ya shina ndio unaolifikidha Taifa hili katika hali inayoendelea sasa hivi. Hebu tuache mambo yasiyo na tija kwa taifa kwa taifa hili na vizazi vijavyo. Viongozi wetu tukianxia na Pinda na bwana Nchimbi wajiuzulu haraka iwezekanavyo kwa aijili ya amani na utulivu wa Taifa hili. Kwa dalili za kushindwa kazi na wajibu ni zipi zaidi ya hizi?
 
Wakristu tukiendelea kupingana na waislamu tutaonekana akili zetu ni kama zao. Tuachane nao
 
Kati ya vitabu hivyo ni kipi kimeagiza Waislamu wachinje kwa niaba ya serikali.

na pia atuambie km ukristo si dini ni nn sasa? wanyama wanunue wengine wao wang'ang'anie kuchinja.....yaan haya majitu akili za menyewe ni finyu sana.
km wana shida ya kuchinja si wakanunue wanyama wao huko....aaaaaaah.
 
jiangalie tunahitaji tanzania ya amani ushindwe na ulegee mfululizo

Mimi siihitaji Tanzania ya amani magumashi ya kikundi fulani madarakani kuwa na mamlaka ya kuingilia imani yangu kwa kujificha nyuma ya amani. Hivi wewe uliwahi kushindwa na kulegea mfululizo?
 
Back
Top Bottom