Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Huku bara;Hakuna hata kipengele kimoja ndani ya katiba yetu au kwenye sheria ndogo ndogo za miji inayosema kuwa "mwenye haki ya kuchinja kitoweo ni muislam tu"!Haya ya waislam kupewa kuchinja kitoweo ni mazoea tu na nashangaa sana kwa serikali sasa kuingilia kati!

Kama mkristo akichinja tutamhukumu kwa sheria ipi?Kama wakristo wenyewe wana shughuli zao za ndani inabidi wamuite muislam achinje?Serikali HAINA DINI na siyo haki na wajibu wao kuamuria nani mwenye haki ya kuchinja!
 
Mbuzi katoliki ni uchafu unaoliwa na wachafu makafiri kama wewe endeleeeni kula
Nakula uchafu inakuhusu nini? Kwanini unang'ang'ania kuchinja halafu mbuzi katoliki hutaki kuchinja.By the way mbona wakati wa mfungo wa Ramadhani mbuzi katoliki huwa wanadoda buchani?
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Hicho kitabu chenu (quran) kiliandikwa lini na Biblia iliandikwa lini?
 
Kweli hii serikali ni dhaifu na haijui kwanini mwanzilishi wa hilo lichama lao linalonuka kila aina ya ubaya alisema serikali haina dini, wanashindwa kuwa na msimamo na kuwa waoga pale wanapotisha kuandamana
 
Wagalatia mna mambo, miaka zaidi ya hamsini mmekula kwa kuchinjiwa na waislam, uvumilivu huu kwa nini umeisha ghafla? Au ndo janja ya Padri Slaa na chama chake cha kikatoliki Chadema kutaka nchi isitawalike? Makafiri mambo haya yatawatokea puani
Kafiri ni yule asieamini katika kristo. Kasome Quran yako vizuri sio unalishwa maneno usiyojua. Wamtumainio bwana ni kama mlima wa sayuni, hawatatikisika milele. Endeleeni kuswalia walio na dhambi Mungu awasamehe, lakini wakati huo huo mbona hamjiulizi mnaambiwa mswali kabla hamjaswaliwa, vipi leo mnamswalia kila siku? Hata mnaemfuata alipoulizwa nini hatma yako utakapokufa, alijibu hajui bali ni Yesu kristu pekee ndie ajuaye. Sasa nashangaa walio wafuasi wanafuata asiyeijua hatima yake.
 
huna elimu ya dini wewe, uislam ulianza tangu alipoumbwa nabii adam na ukaendelea kwa Idris, Nuh, Hood, Ibrahim, ukaendelea kwa Yakub, Issah [jesus], mbaka kwa mtume muhamad [s.a.w] amabaye ndiye mtume wa mwisho kwa mtime wote 25, na uslam ndio umekamilishwa kwake.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Mkuu hivyo ndo vitabu gani mbona mimi sivifahamu lakini nyama nyama nakula kama kawaida?
 

Kwani wee mkuu !
Kwa imani yako Mzee Ibrahim alikuwa mkristo ? Kuanzia Nabii Adamu mpaka kwa Mtume Muhammad . Manabii woote walikuwa ni Waislamu, Rejea Injili ya Barnaba na Injili yenyewe kwani kwenye vitabu vya MUNGU hakuna kitabu kinachoitwa BIBLIA (Biblia) ni mkusanyiko wa mkusanyiko wa maandiko ya Injili nzima na
ambayo kwa 99% yamechakachuliwa ili kukidhi mahitaji yao hao wahuni. Kumbuka vitabu vya MUNGU ni TORATI, ZABURI,INJILI na QURAN[/QUOTE]


Nikusaidie-Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66/7(inategemea na version) kati ya hivyo 39 ni vya agano la kale na 27 ni vya agano jipya(injili). Unaposema "biblia ni mkusanyiko wa injili mzima na ambayo 99% yamechakachuliwa kwa maitaji ya wahusika. Na unamalizia kwa kusema iyo iyo injili ni vitabu ya mungu means unajichanganya-inakuaje unaamini injili ni kitabu cha mungu wakati awali umeshasema kimechakachuliwa? Imani iambatane na kufikiri.

Mwisho hakuna kitu kibaya kama kuwa na imani bila kufikiri. Unapoiacha imani itawale kufikiri kwako ujue umekwenda na maji. Najisikia vibaya sana kuona mnararuana kwa kisa cha uchinjaji badala ya kuwa pamoja na kuikemea serikali jinsi inavyofukarisha wananchi kwenye kila sekta..maji safi ni ndoto, umeme hakuna helimu yetu ndio iyo ya mafungu mafungu.... Tafakari.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?


We sidhani hata kama umesoma hivyo vitabu unavyovitamka. Pengine ndio wale mbumbumbu wanaoropoka tu na ndio maana mnasababisha ghasia kila mara. Kwenye Biblia ambamo kuna Torati, Zaburi na Injili suala la kuchinja limetajwa mara nyingi tu. Kuhusu Ukristo kuwa dini sijui wewe unatafsirije maana ya dini!!
 
Ibrahimu alikuwa mwislamu! Hizo ni hadithi za kutungwa. Haswa hadithi za kutungwa na mtume ambaye hakujua kusoma wala kuandika.

Mtaendelea kusema hadithi za kutungwa lakini hamtakuja hata siku moja mkawa na hoja ya kuupiku uislamu. Sana mtaendelea kuwagandamiza (si kwa kwa sababu yoyote bali kwa kuwa dini yao ni ya haki). Endeleeni kutukana lakini mtabakia kuwa najsi milele.
 
Ibrahimu alikuwa mwislamu! Hizo ni hadithi za kutungwa. Haswa hadithi za kutungwa na mtume ambaye hakujua kusoma wala kuandika.

Hahahaha!!! Leo nimewanasa..... Kumbe Mtume Muhammad hakuwa akijua kusoma wala kuandika???? Sasa mbona mnasema alitunga Korani??? Sasa aliiandikaje???? Tehetehetehe!!!! Mkome kuuchukia uislamu maana huwa mnaukandya ili mpate uchochoro wa kuudhalilisha Uilslamu. Hamkujua kadri mnavyomkashfu Mtume Muhammad kumbe ndo mnajidhihirisha chuki zenu. Looooooo......Mtu asiyejua kuandika akaandika Qurani mpaka inatumika na wanasayansi katika kugundua tiba na kutengeneza silaha.... Au na hili unapinga?????
 
Kwani wee mkuu !
Kwa imani yako Mzee Ibrahim alikuwa mkristo ? Kuanzia Nabii Adamu mpaka kwa Mtume Muhammad . Manabii woote walikuwa ni Waislamu, Rejea Injili ya Barnaba na Injili yenyewe kwani kwenye vitabu vya MUNGU hakuna kitabu kinachoitwa BIBLIA (Biblia) ni mkusanyiko wa mkusanyiko wa maandiko ya Injili nzima na
ambayo kwa 99% yamechakachuliwa ili kukidhi mahitaji yao hao wahuni. Kumbuka vitabu vya MUNGU ni TORATI, ZABURI,INJILI na QURAN


Nikusaidie-Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66/7(inategemea na version) kati ya hivyo 39 ni vya agano la kale na 27 ni vya agano jipya(injili). Unaposema "biblia ni mkusanyiko wa injili mzima na ambayo 99% yamechakachuliwa kwa maitaji ya wahusika. Na unamalizia kwa kusema iyo iyo injili ni vitabu ya mungu means unajichanganya-inakuaje unaamini injili ni kitabu cha mungu wakati awali umeshasema kimechakachuliwa? Imani iambatane na kufikiri.

Mwisho hakuna kitu kibaya kama kuwa na imani bila kufikiri. Unapoiacha imani itawale kufikiri kwako ujue umekwenda na maji. Najisikia vibaya sana kuona mnararuana kwa kisa cha uchinjaji badala ya kuwa pamoja na kuikemea serikali jinsi inavyofukarisha wananchi kwenye kila sekta..maji safi ni ndoto, umeme hakuna helimu yetu ndio iyo ya mafungu mafungu.... Tafakari.[/QUOTE]

Mimi nadhani waislamu wengi wana imani bila kufikiri.Mfano unaenda kujiua mbele za watu nao wafe eti unapata thawabu!Unajua uislam ulisambazwa kwa upanga.Ndio maana dini imekaa kifujofujo tu.Mtume alikuwa hajui kusoma wala kuandika.Vile vitabu "alivyoshushiwa" alivielewaje?!
 
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia!

Non sense. Huujui ukristo wewe. Laiti ungeufahamu usingeandika pumba hizi.
 
Na ngurue wachinje basi. Tz ni nchi huru, dini si kigezo kwa swala hili. Yeyote yule bila kujali dini anaweza kuchinja. Pinda pinda na wenzake wanaishindwa nchi. This is time ticking bom
 
Back
Top Bottom