Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,212
Wow, that is interesting! Kwa hiyo kinachochinja ni dini?Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Unauliza ni wapi katika torati imeandikwa mkristo achinje? Basi imeandikwa katika Kumbukumbu la Torati 12:15-16. Soma pia mstari wa 21 hadi 25. uliza lingine!